Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jamboKuna taarifa yako flani ulitoa humu kuhusu giza kua asili ya mwanadaam! Sasa hiI hoja naona inaupungufu mwingi sana kwa sababu kama kiza kikawaida inasababisha mambo kutokua wazi yaani mfano hata nyumbani kukiwa kiza huwezi kufanya jambo! Sasa hoja yangu wakati kiza ndo kilikuapo kabla ya uumbaji je ulifikiria mwangaza ulikua wapi? Je mfano mtu upo katika kiza kinene ukapata mwangaza ukaona vitu ambavyo hukutegemea kuviona je sio jambo la kufurahisha? Hoja yangu hii ni kutaka kukukosoa juu ya kutaka kuufanya kiza kua ni kitu ambacho ni asili yetu wakati sio kweli kwasababu je uliwahi kufanya upembuzi wako kujua mwangaza ulikua wapi? Kwasababu kabla hujazaliwa hujui ulikua wapi je unaweza kututhibitishia kua unajua ulikua kwenye kiza? Maana kabla hujazaliwa binaadam hujui cha kiza wala mwangaza ni siri yake mwenyezi mungu pekee!! Na mwenyezi mungu alikuepo kabla ya uumbaji na baada ya uumbaji! Unaweza kututhibitishia kua hakukua na mwangaza? Nadhani utakuja na jibu nzury!!
Namba 7 kiimani ni namba ya Ukamilisho.
Jamarat mawe 7
Surat fatiha ina aya 7
Shahada herufu 7
Watoto wa mtume walizaliwa 7
Mtoto aanze kujifunza dini akiwa na miaka 7
Takbar ya Idd huwa ni 7
Na mimba hutambulika baada ya siku 7 ya tendo la ndoa.
Hakuna kitu kama hicho, dini unayozungumzia si ya mungu, ushahidi wewe mwenyewe unaona kinachoendelea duniani kwa sasa, kubisha ni ubinadamu tu.Namba 7 kiimani ni namba ya Ukamilisho.
Jamarat mawe 7
Surat fatiha ina aya 7
Shahada herufu 7
Watoto wa mtume walizaliwa 7
Mtoto aanze kujifunza dini akiwa na miaka 7
Takbar ya Idd huwa ni 7
Tusiende huko tubaki kwenye asili na muktadha wa hoja... tujadiliane kama great thinkersHakuna kitu kama hicho, dini unayozungumzia si ya mungu, ushahidi wewe mwenyewe unaona kinachoendelea duniani kwa sasa, kubisha ni ubinadamu tu.
Ni kweli Mkuu, tudadavulie, kuna mengi sana yasiyo bayana na yanatakiwa yawe bayana kwa ustawi mzuri wa mwili na roho ktk maisha duniani.Siri ya namba saba ni fumbo lenye kufumua ufahamu wa udadisi dokezi, udadisi hojaji inayochimbua asili ya uumbaji na mwenendo wa dunia na hesabu zilizo juu ya ufahamu wa kawaida wa kibinadamu
Kwahiyo kitu kilichokuja kuondoa kiza ndo kinanguvu kwamaana kabla ya kuumbwa palikua kiza na mwangaza ukaja kuondoa kiza!!sasa asili yetu jibu lake bado inakua siri yake muumba kwamaana ukisema asili yetu ni kiza sasa je kuna kati yetu kabla ya kuzaliwa alitambua kua yupo kizani ama kwenye mwanga?Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
Nami niliifuatilia ile mada ila mbona ilikuwa nyepesi kwa kila namna? Naaminisha ilikuwa iko wazi sana, na mengi umeshajibu mwenyewe, mfano pale kabla hujazaliwa,kwani kuna uwezekano wa kuwepo na mwanga tumboni?Kuna taarifa yako flani ulitoa humu kuhusu giza kua asili ya mwanadaam! Sasa hiI hoja naona inaupungufu mwingi sana kwa sababu kama kiza kikawaida inasababisha mambo kutokua wazi yaani mfano hata nyumbani kukiwa kiza huwezi kufanya jambo! Sasa hoja yangu wakati kiza ndo kilikuapo kabla ya uumbaji je ulifikiria mwangaza ulikua wapi? Je mfano mtu upo katika kiza kinene ukapata mwangaza ukaona vitu ambavyo hukutegemea kuviona je sio jambo la kufurahisha? Hoja yangu hii ni kutaka kukukosoa juu ya kutaka kuufanya kiza kua ni kitu ambacho ni asili yetu wakati sio kweli kwasababu je uliwahi kufanya upembuzi wako kujua mwangaza ulikua wapi? Kwasababu kabla hujazaliwa hujui ulikua wapi je unaweza kututhibitishia kua unajua ulikua kwenye kiza? Maana kabla hujazaliwa binaadam hujui cha kiza wala mwangaza ni siri yake mwenyezi mungu pekee!! Na mwenyezi mungu alikuepo kabla ya uumbaji na baada ya uumbaji! Unaweza kututhibitishia kua hakukua na mwangaza? Nadhani utakuja na jibu nzury!!
Watakao ingia kupitia mipango mingine watapata viunafuu kidogo au? Natania bana, ila twende na mada tujifunze mengi. Hapa kuna mengi.Jehnam ina milango Saba pia,,,,huo mlango wa Saba ndio utatumika kuwapitisha makafiri wasio waislam na washirikina kutupwa kwenye moto wa jehanam,,,;wadumu umo
Kuhusu mada ya giza broo iko wazi sana. Hata huwa nafikiria na nadhani ndo ukweli wenyewe, kwamba hiyo iitwayoUna maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
Kuhusu mada ya giza broo iko wazi sana. Hata huwa nafikiria na nadhani ndo ukweli wenyewe, kwamba hiyo iitwayo jehanamu maana yake ni kurudi kule tulikotoka, gizani. Hakuna uhai huko, full giza.Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
Friday The 13th.Kwa wazungu sio namba nzuri hata kidogo namba 13.,nakumbuka Michael Jackson aliomba madaktari wafanye wawezavyo mtoto wake asizaliwe tarehe hiyo
Kwanza dini hapa uwe tu mfano wa kuthibitishwa hoja, kisiwe ni kigezo cha hoja tutajifunga wenyewe ktk mjadala hata kweli ya saba hatutaipata.Tusiende huko tubaki kwenye asili na muktadha wa hoja... tujadiliane kama great thinkers