Saba ni utukufu na mamlaka ya kiroho, sita ni binadamu katika ulimwengu wa roho, binadamu asiye mkamilifu, ila akiwa juu ya mamlaka nyingine zote kidunia, huyu aliumbwa siku ya sita, ufahamu wake unagotea hapo777 namba ya utukufu wa Bwana aliyehai. 777 is > 666.
Eto'o hakuwahi kuvaa namba 10 alikuwa anavaa namba 9Nami nakuja na namba yangu 101010
.Numerical
.Binary(programmers wananielewa vizuri hapa)
.Inasumbua sana Camp Nou(mess, dinho, eto'o) na viwanja vingine
Ongezeeni...
Hii iko kisayansi zaidi kuliko kiroho nadhani na kuna theory wanaiita hii kuwa ni ON OFF theory Kuwepo na kutokuwepoNami nakuja na namba yangu 101010
.Numerical
.Binary(programmers wananielewa vizuri hapa)
.Inasumbua sana Camp Nou(mess, dinho, eto'o) na viwanja vingine
Ongezeeni...
Maelezo yako Hayaja jitoshelezaAmri ya Mungu inayozungumzia Siku ya Saba, Ndio amri pekee yenye maelezo mengi.
Sio kote, ilishawahi ishia la 4 na wako wanaoishia la name ktk nchi zingine, kwa Tz leo ni kidato cha 4.Hivi ni kwa nini elimu ya msingi inaishia darasa LA saba
Siri ya namba saba ni fumbo lenye kufumua ufahamu wa udadisi dokezi, udadisi hojaji inayochimbua asili ya uumbaji na mwenendo wa dunia na hesabu zilizo juu ya ufahamu wa kawaida wa kibinadamuHata mganga wa kienyeji uhitaji punde au mbegu saba kuchemshia dawa, kuku huzungushwa jikoni mara saba ili asiisahau nyumba yake, zunguka mbuyu mara saba. Hapa nilitaka tu kuonesha kwamba ukuu wa namba saba haukuletwa na Bible na Quran ktk jamii zetu.
Sijui kwa zile za asia na amerika kabla ya Great lier Columbus. Lakini pia, ukiyaunganisha haya matukio ya kikanuni, Kama kuna kitu hivi hatukijui vizuri wanadamu, eidha kweli tuliwai kuishi pamoja wote, na kwa pamoja tukishea kanuni moja tu, ambayo kwasasa ni kama tumeisahau kwakuwa tumetengana kitambo ama kuna nguvu juu yetu yenye ASILI moja inatuongoza kuzijua hizi kanuni, na KWELI imejificha humo.
Toa Darasa Sasa uncleSiri ya namba saba ni fumbo lenye kufumua ufahamu wa udadisi dokezi, udadisi hojaji inayochimbua asili ya uumbaji na mwenendo wa dunia na hesabu zilizo juu ya ufahamu wa kawaida wa kibinadamu
Lucky number kwa ma gambler777 namba ya utukufu wa Bwana aliyehai. 777 is > 666.
Namba za jichawi ni zipi? Nasikia 3 na 7 zimo. Mama yao ni 13Saba ni utukufu na mamlaka ya kiroho, sita ni binadamu katika ulimwengu wa roho, binadamu asiye mkamilifu, ila akiwa juu ya mamlaka nyingine zote kidunia, huyu aliumbwa siku ya sita, ufahamu wake unagotea hapo
Kwahiyo anapotaka kudadisi nini kilitokea siku ya saba inayosemekana Mungu akapumzika ndipo inapokuja dhana nzima ya mpinga Kristo na Freemasons kwenye namba 666
ELIMU ELIMU ELIMUJehnam ina milango Saba pia,,,,huo mlango wa Saba ndio utatumika kuwapitisha makafiri wasio waislam na washirikina kutupwa kwenye moto wa jehanam,,;wadumu umo