environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
nasikia mwigulu aliwapiga mkwara wanyiramba wakichagua chadema mapolis hawatalala kwa ajili ya kuwashughulikia wananchi! Pia aligawa takrima kama ananawa vile!Hata wewe upo sahihi kwa upeo wako hasa ukizingatia jinsi tulivyowafanya kitu mbaya Iramba
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....
pooooooooooor!!!!!!!!!!
Kinanaaaaaaaaa!!!!lete mbili za baridi tafadhali muhudumu!!kuna habari nzuri za kuyakataa mafisadi hapa..
Hizo ni habari nzuri sana zinaleta usingiziiiiiiiiiiiii hadi raha
umbeya!
kikuingiacho si najisi bali kikutokacho....
Sii Komba alisema chadema haipo mbinga?kudadeki jeuri kwisha kazi.yeye aendelee kusinzia bungeni
Labda Komba aende kuimbwa 'CCM nambari wani eheeee"....