Mbilimbi

Mbilimbi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1416356850862.jpg1416356870357.jpgView attachment 203684
 
chachandu ya mbilimbi ukiimwagia kwenye kibandameno uliookwa au kaangwa vizuri...ni mtamu hatari!!!

Inaliwa na vitu vingi sana na inanoga vilivyo, shida ipo tu kwa wale wenye tatizo la ulcers
 
Siki hiyo, mate yameshanijaa hapa tayari nimeitamani
 
Wou ule na rost ya maini na ugali, hayo ni mambo ya pwani bwana.
 
Back
Top Bottom