Mkuu umeniacha sina mbavu. You made my w/end either. Watu mnaangalia sana eh?Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:
Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:
![]()
Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:
![]()
Kweli ujana ni maji ya moto!Huyu mama enzi zake inaelekea alikuwa bomba mbaya manake nikacheki baadhi ya nyimbo zake kama boyaye she was looking so beautiful and sexy!
mwaka 1986 aliweka onyesho pale Uwanja wa Taifa (wa zamani) wakati bado akishirikiana Tabu Ley. Huyu mama alikuwa mrembo kweli kweli, ila ukweli ni kuwa muda hautusubiri sote. Akiwa mrembo alichanganya wanaume kweli kweli katika kipindi cha kunzia 1984 hadi 1991.
Je ni kweli Mbilia aliolewa na Rais Omar Bongo wa Gabon![]()
Mbilia Bel akiimba kwa hisia kubwa sana moja ya nyimbo zake za enzi zileeeee,nafikiri mtakuwa mnazikumbuka.
![]()
bado niko fiti
![]()
si mnamuona wenyewe,sasa msikose kesho pale new world cinema kuona mambo yake zaidi
Anasema hataki kuolewa na hasikii raha ya sexmwaka 1986 aliweka onyesho pale Uwanja wa Taifa (wa zamani) wakati bado akishirikiana Tabu Ley. Huyu mama alikuwa mrembo kweli kweli, ila ukweli ni kuwa muda hautusubiri sote. Akiwa mrembo alichanganya wanaume kweli kweli katika kipindi cha kunzia 1984 hadi 1991.