Mbezi safarini Arusha

Heeeeeeeeeeeeeeeeee my Lily Flower kuna mtu ananihujumu humu.......... hayo siyo maneno yangu kabisa lol

Acha kujikosha selo itakuhus na ukingia leo mpaka jumatatu ndio kitaeleweka........ ila naogopa kulala mwenyewe basi bhana nimekusamehe.
 
Broda' acha wivu utakufa vibaya, acha mie nivae boksa yangu nianze safari

funga mkanda kaka kwenda RChunga kumfuata amu, wakati huo mimi nitakua nakielekeza Tanga mapenzi yalikozaliwa
 
Last edited by a moderator:
hebu nipishe huko.......halafu angalia....leo ni ijumaa.....nikikuweka ndani ni j3 ndo utaonekana.......au unabisha.....?
Huku niliko mimi leo ni Alhamisi, saa 5.15 usiku!
Ni kiumbe gani wa kiume duniani humu ambaye atachukia kuwekwa ndani na mrembo kama wewe?
Mimi nikihisi hivyo tu naharibu zaidi ili uniweke kwa muda mrefu zaidi!....huh!
 
ahaa....ndio yale BFGoodrich uliyopita nayo jana.....halafu mjomba nimekukumbuka......umerudi bila kuniona.....

Hahaaaaa Mjomba ni hayo hayo.............. afu niliporudi nilikudipu hujapiga
 
hivi we mkaka tangia lini nimeku............. wewe jamani mpaka unanimention hivyo na unajua mm ni mke wa mtu naye yuko hapa anaona kila kitu kwanini unanipakazia kiasi hicho jamani kwanini unanichafua humu ndani MMU jamani filipi mm sipendi kabisa, ila Arusha nikija nitakupa kibano cha nguvu na usiombe nije weeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tanga ki2 gani broda' acha wivu, ngoja mi nijilie bwana
funga mkanda kaka kwenda RChunga kumfuata amu, wakati huo mimi nitakua nakielekeza Tanga mapenzi yalikozaliwa
 
Last edited by a moderator:

mhm! ulishawahi kufika wee mkaka watu8
Mi, mdada akiniita "MKAKA" sijui najiskiaje vile!...yaani ni kama napatwa na kiu ya konyagi ghafla!
 
Huku niliko mimi leo ni Alhamisi, saa 5.15 usiku!
Ni kiumbe gani wa kiume duniani humu ambaye atachukia kuwekwa ndani na mrembo kama wewe?
Mimi nikihisi hivyo tu naharibu zaidi ili uniweke kwa muda mrefu zaidi!....huh!

wallah....leo unalala ndani......ole wako nikuone Ngwasuma........
 
Last edited by a moderator:
Mi, mdada akiniitwa"MKAKA" sijui najiskiaje vile!...yaani ni kama napatwa na kiu ya konyagi ghafla!

hahaha ni namna tu ya kuita...ila ni namna nzuri ni kama siye tunavyowaita "we mrembo...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…