Mbezi safarini Arusha

we nenda kakabidhi lindo ukapumzike. Au anayekupokea hajafika!?



Hahahahaha,umepatia, jamaa wa kuniresque sijui kachelewa ama haji kabisa,kuna wasiwasi wa mzee mzima kuunganisha shift leo.....
 
Last edited by a moderator:
Preta
Arushaone jamani samanhanini wengine nimewasahau naja huko nitakaa mpaka jumatatu
natumai nitaonana na hata mmoja wa hapa.
Nafikia USA.Asubuhi njema
Mbona unafikia mbali?????
Karibu sana
Tuonane kesho! Ni PM !
Safari njema amu na karibu Arusha
 
Last edited by a moderator:
Mbona unafikia mbali?????
Karibu sana
Tuonane kesho! Ni PM !
Safari njema amu na karibu Arusha

Hapo USA pana umbali gani kaka, au waishi Olmotonyi weye?
 
Last edited by a moderator:
Hapo USA pana umbali gani kaka, au waishi Olmotonyi weye?
Huwezi kwenda uwanja wa nyumbani wa mdada utakamatwa wewe...niaje chalii angu?
Unajipeleka ugenini? watakulamba mapanga...we hujui kama kajiexport unaenda kichwa kichwa jamaa akiwapamba hata kama huna nia mbaya lazma akususie au aku TMK lol nani anataka mabalaa saizi?
Si mbali ila lol mambo yote city centre siunajua vivian kasema Fuahiiiidei............!
 
Last edited by a moderator:
Mbona unafikia mbali?????
Karibu sana
Tuonane kesho! Ni PM !
Safari njema amu na karibu Arusha

aksante sana yaani na nataka niende disco kesho mie mgeni nijui nitafikaje
ina maana huko usa ni nje ya mji?hata sijui mwenzio
 
Last edited by a moderator:

hilo nalo neno, ila mwambie asoge walau hapo Senawari kuna viota vingi tu, dah ila pande hizo kitambo sana sijakiweka...
 
Last edited by a moderator:
aksante sana yaani na nataka niende disco kesho mie mgeni nijui nitafikaje
ina maana huko usa ni nje ya mji?hata sijui mwenzio
We njoo usiwaze hayo makitu ya umbali Arusha vijana wametulia bhana hadi mlangoni utafikishwa vijana wapo kwa kazi hiyo yan Mungi ndio dreva wetu wa kudumu unakotaka anakupeleka faster...kama hayupo basi Mzee wa Rula huwa anajitolea amu we karibia then unaenjoe sana na jiji letu
 
Last edited by a moderator:
hilo nalo neno, ila mwambie asoge walau hapo Senawari kuna viota vingi tu, dah ila pande hizo kitambo sana sijakiweka...
Kijana we unaijua Arusha ya zamani eeeeh
Heheheheee uliza Mr Rocky akuambie kuhusu Twiter au Preta akupe mambo ya Sky Lounge! Mungi atakuambia Bougalou heheheheeeee PakaJimmy yeye anapenda kuleeeee kwenye za zamani Lily Flower Filipo Blaki Womani Arushaone na marejesho na Mzee wa Rula huwa wanafuata upepo tu kama bendela lol bora hata mimi huwa nasuggest Tripple A
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mbona hupokei simu....?

Preta nimesikitika kwa kweli jimbo la uchaguzi wapi?kama arusha nikufate we niambie wapi tu
nipm namba yako my dia
 
Last edited by a moderator:
Shuka hapa Bomang'ombe kuna Mbuzi ndo tunaichinja asubuhi hii.
Usipite meen. Utakosa mbuzi meen

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Karibu Arusha amu tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu, ila kuna matapeli wawili hawa hata wakikuimbia nyimbo nyororo vipi usikubali Erickb52 na Filipo hawa huku tumuwawekea vilebo "keep away from children" hawafai kwanza Filipo anamke wake marejesho huyu mwingine anaranda randa tu kama kuku aliekatwa kichwa. You are welcome.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…