Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
usiwe na wasiwasi kabisa. Hicho kiwanja nitakupeleka na ngwasuma utawaona. Ukifika Arusha nishtue nikupokee! Usisikilize hao akina Mungi, Erickb52 wala PakaJimmy! Wote wanaishi Nduruma! Huyo Blaki Womani hauwezi kumwona maana yupo Olmotonyi. Mzee wa Rula anaishi Longijabe. Mi nipo maeneo ya Makao mapya hapa nakusubiri!
Karibu sana ndugu
Mambo Blaki Womani! Nimekukosa sasa.
Na bado, huo ni mwanzo tu!
dada mrembo mambo
Naona huyu mume kaamua kuwa na macho juu juu!!!!Ngoja nipite kimya kimya!!!
safi mamie mic u jamani
Atajibeba mwaka huu.ulikuwa humjui ameanza kutoa makucha
mie pia upo mitaa ya kwetu au nchi jirani
Atajibeba mwaka huu.
Wifi ndio nini kunilaza macho jana? Mie nkajua umetekwa na majambazi mto ngarenaro.
Hahahaha, sikusamehi mpaka unipe sh 100 lol... Ntakusemea kwa kakako ujue!hahahaha wifi nisamehe muda ulikuwa mbaya sikutaka kukusumbua wakati umelala unajua tena mambo ya furahidei
nipo mpz hapa hapa tu na ts my birthdy lakini nalala tu home jamani
Hehehe! Umefulia eeh? Lala tu mwaya!nipo mpz hapa hapa tu na ts my birthdy lakini nalala tu home jamani