Kama unatokea Goba unaweza pia kuvuka daraja la kwanza then ukakata kushoto, utazunguka ile round about ya zamani, ukishaizunguka ukiwa kama unarudi Goba utaona kanjia mchepuko kushoto kwako kwa chini ukitambaa nacho kinakupeleka Malamba mawili, daraja la pili ulipopita kuzunguka kwa Yusuf mbali sana kule.Ni kweli pale pamekaa complicated sana, mm kuna siku nilikuwa naenda huku Mbezi Maramba Mawili kwenye msiba natokea njia ya Goba, nilishazoea ukifika pale Mbezi mwisho baada ya round about unanyoosha moja kwa moja unavuka unaendelea na safari. Nilivyofika pale kuchek pamezibwa kabisa, ikabidi nizunguke ile round about nielekee kama naenda stand ya Magufuli, shida nikaja nikaingia kwenye hili daraja la kwanza pale ambalo linaelekea stand ya daladala. Baada ya kuvuka tu kuna round about nyingine pale nikazunguka kama mara 3 hivi najaribu kutafuta exit ya kuelekea maramba mawili sioni, nikaona kuna entry moja inakuja toka uelekeo huo na haishuki, nyingine inaenda stand ya daladala, na moja inarudi barabara kubwa. Ikabidi tu nirudi hadi barabara kubwa alafu ninyooke mpk kwa Yusuph ndiyo nikunje kushoto nitembee. Kifupi pale hapana maelekezo ya kutosha na yanachanganya kinoma, na traffic wamejaa pale wanasubiri ujichanganye wale kichwa. Nilivyofika kuwauliza wenyeji wangu wakanielekeza vizuri ambapo kimsingi nilitakiwa kuvuka kwenye daraja la pili baada ya kupita stand ya Magufuli ukiwa unatokea uelekeo wa Goba.
Watu waongo unawadaka kirahisi sanaKwani hakuna zile alama za kijani ambazo mara nyingi hutumika kuelekeza au kuonyesha muelekeo wa barabara.
Mbona maelekezo yapo, vibao vingi sanaKumbe tupo wengi, me pia kuna siku nimetoka njia ya Goba naenda Tabata..
Mbona jasho lilinitoka...
Sitaki hata kupasikia.
Sababu hamsomi vibao.Halafu polisi wamefanya mtaji, ukikosea ukaingia stand ya daladala wanakukamata
Kama una mda hujapita usiende kwa kukariri tena, usome vibao. Kama hutasoma vibao unaweza kupata shida kidogo. Au unishtue nikupitishe pale...Inasikitisha sana.
Mimi nimekariri kuna kibao cha Goba ndo nakifata.
Chap naingia stand.

buku tu nitaridhika mkuu!!Mkuu hizi cross roads huwezi kupotea kabisa maana alama zipo ni kubwa na zinaonekana, halafu wenzetu wanatumia mabango ya rangi ili kuzitofautisha hizi barabara, mf. Blue color hizi ni highways/freeways, means hata ukiwa kwa mbali utaona na kujua kuwa off ramp ile itakuingiza free wayPale Mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo, kosa kubwa la Serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hizo interchange.
Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....
Sasa sijui tukifika huku itakuwaje 🙄
View attachment 2504112
View attachment 2504113
Hahahaaaaaaaaaa, daaaah, umenichekesha sana aisee,Well binansi nna tabia ya kuendesha kwa mazoea bila kusoma maelekezo mapya.
Kuna siku nilikuwa namuwahisha mtu stendi ya Magufuli awahi basi la kuondoka saa moja 12 alfajiri. Niko ndani ya muda vizuri tuu nilikuwa natokea Ubungo.
Hapo sijapita maeneo hayo kama miezi 2, niliacha ukitoka Ubungo kwenda stendi ya Magufuli unaweza kuchepuka kushoto ukaingia round about halafu unavuka barabara kisha ukate kushoto kuelekea stendi.
Ila ikiwa mida ambayo sio busy unaweza ukakunjia pale pale kona uingie upande kama unaenda Goba ukitokea Ubungo kitu ambayo ni makosa.
Kwakuwa ilikuwa alfajiri magari si mengi nikajisemea wacha nikatishe nisiende kwenye round about weeehh.....picha likaanzia hapo.... kufika pale pamezibwa nikiwa nashangaa shangaa gari ya nyuma ikanistua kwa honi ikabidi niende mbele....
Sasa nikaanza kupaniki ili niingie stendi upande wa pili navukaje hapo sasa hata maandishi ya kwenye vibao vinavyofuata sioni nikiangalia saa naona muda unakimbia dabodabo, abiria nae anayesafiri akazidi kunipanikisha ntaachwa na gari.....aahahhaaa sitasahau.
Nilienda mbele hadi nakaribia sijui mataa ya wapi kule nshavuka na daraja la mbele huko la waenda kwa miguu yaani sioni pa kugeuzia nikitaka kukata kushoto barabara hairudi yaani sina hamuuu.
Nilipogeuga sasa narudi nna hasiraaa wangu wangu kidogo nikamatwe na askari kwa kupita taa nyekundu....
Ndo kukatisha kushoto kabla ya stendi na kupita round about 2 sijui 3 ndo kukuta basi dereva keshakaa anataka kuamsha safari ianze.
Uzuri msafiri hakuwa na mizigo ya kuweka kwenye buti. Hatukupata hata wasaa wa stori za kuagana... kikubwa kawahi usafiri mie huyooo nikajirudia zangu Mbagala, sina hamuuu....
Pole mtoa mada.... umenikumbusha yaliyonisibu.![]()
Ndio na macho wakayachukuaIna maana leseni uliletewa nyumbani?
Mbona pale alama zaonesha vizuri tu
Shida ndio hiyo iliyonikumba ,lakini pia alama sio kubwa sana,baada ya kutaka kwenda stand ya daladala ndio akili ikanirudiaTatizo ni udereva wa kukariri, hatuangalii vibao, tunaendesha kwa mazoea. Mbezi panajieleza sana. Kwa sisi tunaopita hapo daily hakuna shida, mgeni lazima usome vibao la sivyo utazunguka sana hasa kama unatokea Town unaenda goba, unatokea goba unaenda kinyerezi, unatokea kibaha unaenda kinyerezi, unatokea kinyerezi kuelekea goba au mpigi nk.
Ha ha dah umenichekesha sana,pole sana kwa mkasa huo nduguWell binansi nna tabia ya kuendesha kwa mazoea bila kusoma maelekezo mapya.
Kuna siku nilikuwa namuwahisha mtu stendi ya Magufuli awahi basi la kuondoka saa moja 12 alfajiri. Niko ndani ya muda vizuri tuu nilikuwa natokea Ubungo.
Hapo sijapita maeneo hayo kama miezi 2, niliacha ukitoka Ubungo kwenda stendi ya Magufuli unaweza kuchepuka kushoto ukaingia round about halafu unavuka barabara kisha ukate kushoto kuelekea stendi.
Ila ikiwa mida ambayo sio busy unaweza ukakunjia pale pale kona uingie upande kama unaenda Goba ukitokea Ubungo kitu ambayo ni makosa.
Kwakuwa ilikuwa alfajiri magari si mengi nikajisemea wacha nikatishe nisiende kwenye round about weeehh.....picha likaanzia hapo.... kufika pale pamezibwa nikiwa nashangaa shangaa gari ya nyuma ikanistua kwa honi ikabidi niende mbele....
Sasa nikaanza kupaniki ili niingie stendi upande wa pili navukaje hapo sasa hata maandishi ya kwenye vibao vinavyofuata sioni nikiangalia saa naona muda unakimbia dabodabo, abiria nae anayesafiri akazidi kunipanikisha ntaachwa na gari.....aahahhaaa sitasahau.
Nilienda mbele hadi nakaribia sijui mataa ya wapi kule nshavuka na daraja la mbele huko la waenda kwa miguu yaani sioni pa kugeuzia nikitaka kukata kushoto barabara hairudi yaani sina hamuuu.
Nilipogeuga sasa narudi nna hasiraaa wangu wangu kidogo nikamatwe na askari kwa kupita taa nyekundu....
Ndo kukatisha kushoto kabla ya stendi na kupita round about 2 sijui 3 ndo kukuta basi dereva keshakaa anataka kuamsha safari ianze.
Uzuri msafiri hakuwa na mizigo ya kuweka kwenye buti. Hatukupata hata wasaa wa stori za kuagana... kikubwa kawahi usafiri mie huyooo nikajirudia zangu Mbagala, sina hamuuu....
Pole mtoa mada.... umenikumbusha yaliyonisibu.![]()
Itabidi tuungane kupita hiyo hiyo kwakweli .pale panakausumbufuHapajakaa vizuri kama umetoka Kibaha kwenda Tabata. Mimi baada ya kuona shida sana nikitoka Kibaha kwenda Tabata huwa napitiliza mpaka kwa Msuguri kwenye mataa pale napinda kulia kuna barabara mpya ya lami inatokea malamba mawili.
Wabongo sisi tunaendesha kwa mazoea tu,tunangalia vya speed limit tuUnajua ni nini tunapata changamoto kwakuwa hatujazoea kusoma alama za barabarani ila ukiwa makini tu kitizama alama wala huwezi kusumbuka hata ukiendq New York
Kwani hawajaweka alama za vibao mkuuYaani panaboa kinoma, ukikosea tu utaenda mwelekeo sio
Basi kama hakuna,wahusika wanatakiwa kuweka alama za vibao
Pole aisee, lakini pia, ungeweza baada ya kuvuka daraja la kwanza namkuikuta round about, ungefuata uelekeo wa njia inayokuja tokea barabara kubwa, lakini kabla hujaifikia round about kubwa ya zamani ungeona barabara inayoshuka upande wa kushoto ambayo inaenda kupita chini ya daraja (la barabara inayoenda stendhal ya daladala) ambayo ukiifuata ungeweza kuelekea maramba mawili pia,Ni kweli pale pamekaa complicated sana, mimi kuna siku nilikuwa naenda huku Mbezi Maramba Mawili kwenye msiba natokea njia ya Goba, nilishazoea ukifika pale Mbezi mwisho baada ya round about unanyoosha moja kwa moja unavuka unaendelea na safari.
Nilivyofika pale kucheki pamezibwa kabisa, ikabidi nizunguke ile round about nielekee kama naenda stand ya Magufuli, shida nikaja nikaingia kwenye hili daraja la kwanza pale ambalo linaelekea stand ya daladala. Baada ya kuvuka tu kuna round about nyingine pale nikazunguka kama mara 3 hivi najaribu kutafuta exit ya kuelekea maramba mawili sioni, nikaona kuna entry moja inakuja toka uelekeo huo na haishuki, nyingine inaenda stand ya daladala, na moja inarudi barabara kubwa.
Ikabidi tu nirudi hadi barabara kubwa alafu ninyooke mpk kwa Yusuph ndiyo nikunje kushoto nitembee. Kifupi pale hapana maelekezo ya kutosha na yanachanganya kinoma, na traffic wamejaa pale wanasubiri ujichanganye wale kichwa. Nilivyofika kuwauliza wenyeji wangu wakanielekeza vizuri ambapo kimsingi nilitakiwa kuvuka kwenye daraja la pili baada ya kupita stand ya Magufuli ukiwa unatokea uelekeo wa Goba.