Sawa dereva lakini hiyo inaweza kumtokea yeyote tu hata wewe pamoja na udereva wako,kuna makosa huwa unayafanyaShida husomi mabango ya maelezo na usomi alama za barabarani. In short wewe sio dereva bali mshika uskani
Wewe Bado ni mshamba na ushamba haujakitokaHope mko salama
Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.
Sasa leo nmetoka Kibaha uelekeo ukiwa ni Tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.
Nimehangaika sana yani, mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.
Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Hapa mkuu unaeza zunguka siku nzima mpaka mafuta yakuishie na bado usijue njia ya mguu kuelekea petrol station ni wapi.Pale Mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo, kosa kubwa la Serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hizo interchange.
Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....
Sasa sijui tukifika huku itakuwaje
View attachment 2504112
View attachment 2504113
Pale pale mkuu huna haja ya kurudi nyuma kana unarudi goba ukizunguka ike round about fanya kama unaifata stand ya dala dala kuna kamchepuko kapo kushoto unashuka nacho unaenda kutokea round about ya stand ya dala dala then round about ya maramba mawili nduki nene.Kama unatokea Goba unaweza pia kuvuka daraja la kwanza then ukakata kushoto, utazunguka ile round about ya zamani, ukishaizunguka ukiwa kama unarudi Goba utaona kanjia mchepuko kushoto kwako kwa chini ukitambaa nacho kinakupeleka Malamba mawili, daraja la pili ulipopita kuzunguka kwa Yusuf mbali sana kule.
Mkuu kwa mbele pale kuna kimchepuko kushoto ila ukiwa wenge sio rahisi kukiona kabisa mi ndio huwa nakitumiaga hicho.Daraja la kwanza kama unatokea goba ukifika kwenye round about wengi ujichanganya wanakata kulia,kulia atatokea stendi ya daladala kule ukiingia kutoka ni jero au atokee njia kutokea malamba mawili ambayo inaenda tu airudi,wazee wa fursa uwa wanajificha chini ya daraja pale na vest zao 🦺,ukijichanganya wanasema na wewe

Mkuu kwa mbele pale kuna kimchepuko kushoto ila ukiwa wenge sio rahisi kukiona kabisa mi ndio huwa nakitumiaga hicho.
Kimekaa kikuda kuda sana kile kimchepuko![]()

Panachanganya sanaKumbe tupo wengi, me pia kuna siku nimetoka njia ya Goba naenda Tabata..
Mbona jasho lilinitoka...
Sitaki hata kupasikia.

hakuna vibao?Hope mko salama