Mbezi Mwisho palivyonitoa ushamba

Mbezi Mwisho palivyonitoa ushamba

Pale mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo , kosa kubwa la serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hzo interchange .... Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....

Sasa sjui tukifika huku itakuwaje 🙄

View attachment 2504112

View attachment 2504113
Tukifika huku mtu anaweza akamaliza 24hrs anapiga round trip tu hapohap😅
 
Pale mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo , kosa kubwa la serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hzo interchange .... Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....

Sasa sjui tukifika huku itakuwaje

View attachment 2504112

View attachment 2504113
Sasa mkuu hapo hamna clear information na ndio tatizo lilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well binansi nna tabia ya kuendesha kwa mazoea bila kusoma maelekezo mapya.

Kuna siku nilikuwa namuwahisha mtu stendi ya Magufuli awahi basi la kuondoka saa moja 12 alfajiri. Niko ndani ya muda vizuri tuu nilikuwa natokea Ubungo.

Hapo sijapita maeneo hayo kama miezi 2, niliacha ukitoka Ubungo kwenda stendi ya Magufuli unaweza kuchepuka kushoto ukaingia round about halafu unavuka barabara kisha ukate kushoto kuelekea stendi.

Ila ikiwa mida ambayo sio busy unaweza ukakunjia pale pale kona uingie upande kama unaenda Goba ukitokea Ubungo kitu ambayo ni makosa.

Kwakuwa ilikuwa alfajiri magari si mengi nikajisemea wacha nikatishe nisiende kwenye round about weeehh.....picha likaanzia hapo.... kufika pale pamezibwa nikiwa nashangaa shangaa gari ya nyuma ikanistua kwa honi ikabidi niende mbele....

Sasa nikaanza kupaniki ili niingie stendi upande wa pili navukaje hapo sasa hata maandishi ya kwenye vibao vinavyofuata sioni nikiangalia saa naona muda unakimbia dabodabo, abiria nae anayesafiri akazidi kunipanikisha ntaachwa na gari.....aahahhaaa sitasahau.

Nilienda mbele hadi nakaribia sijui mataa ya wapi kule nshavuka na daraja la mbele huko la waenda kwa miguu yaani sioni pa kugeuzia nikitaka kukata kushoto barabara hairudi yaani sina hamuuu.

Nilipogeuga sasa narudi nna hasiraaa wangu wangu kidogo nikamatwe na askari kwa kupita taa nyekundu....

Ndo kukatisha kushoto kabla ya stendi na kupita round about 2 sijui 3 ndo kukuta basi dereva keshakaa anataka kuamsha safari ianze.

Uzuri msafiri hakuwa na mizigo ya kuweka kwenye buti. Hatukupata hata wasaa wa stori za kuagana... kikubwa kawahi usafiri mie huyooo nikajirudia zangu Mbagala, sina hamuuu....

Pole mtoa mada.... umenikumbusha yaliyonisibu.😆😆😆
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni ugeni lakini hapasumbui kabisa wameondoa usumbufu kabisa
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupotea sio ushamba. Yeyote popote anaweza potea
 
Kama unatokea kibamba ukifika kwa yusuph ingia kushoto kuna kibao wameweka kisha mbele kidogo kuna roundabout ingia kulia kama unaenda stedi ya Magufuli mbele kidogo utakuta roundabout nyingine ingia kulia endelea tena utakuta roundabout nyingine ingia kulia mbele tena kuna roundabout ingia kushoto nyosha moja kwa moja utatokea kwenye junction ya kwenda maramba mawili.
Kaeni wenyewe na mji wenu,,,sisi wakuja tunapotea kila siku.
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapajakaa vizuri kama umetoka Kibaha kwenda Tabata. Mimi baada ya kuona shida sana nikitoka Kibaha kwenda Tabata huwa napitiliza mpaka kwa Msuguri kwenye mataa pale napinda kulia kuna barabara mpya ya lami inatokea malamba mawili.
 
Halafu hiyo barabara ya njia sita Kimara - Kibaha mbona kila mahali spidi mwisho ni 50!!! Au wakikamilisha ujenzi wataziondoa? Na askari wako na tochi pale wanapiga faini kweli kweli. Unatengeneza barabara nzuri watu wawahi halafu unawazuia wasikimbie!!
 
Halafu hiyo barabara ya njia sita Kimara - Kibaha mbona kila mahali spidi mwisho ni 50!!! Au wakikamilisha ujenzi wataziondoa? Na askari wako na tochi pale wanapiga faili kweli kweli. Unatengeneza barabara nzuri watu wawahi halafu unawazuia wasikimbie!!
Ni kama Serikali inasema, uchaguzi mkuu utakuwepo ila hakutakuwa na kupiga kura.
 
Uzoefu kivipi na ikiwa kuna vibao vya maelekezo vinavyoonyesha muelekeo wa njia zote!
Matumizi ya njia moja moja na zisizo na u-turns na round abouts na ulemavu wa kutokufahamu alama za barabarani ndio changamoto inayotesa wengi. Mimi nimegika Dar pakiwa tayari hapo Mbezi pameshafanywa mambo na nilikuwa na miaka minne sijafika Dar lakini mbona nili navigate vizuri tu bila shida.
 
Ni kweli pale pamekaa complicated sana, mimi kuna siku nilikuwa naenda huku Mbezi Maramba Mawili kwenye msiba natokea njia ya Goba, nilishazoea ukifika pale Mbezi mwisho baada ya round about unanyoosha moja kwa moja unavuka unaendelea na safari.

Nilivyofika pale kucheki pamezibwa kabisa, ikabidi nizunguke ile round about nielekee kama naenda stand ya Magufuli, shida nikaja nikaingia kwenye hili daraja la kwanza pale ambalo linaelekea stand ya daladala. Baada ya kuvuka tu kuna round about nyingine pale nikazunguka kama mara 3 hivi najaribu kutafuta exit ya kuelekea maramba mawili sioni, nikaona kuna entry moja inakuja toka uelekeo huo na haishuki, nyingine inaenda stand ya daladala, na moja inarudi barabara kubwa.

Ikabidi tu nirudi hadi barabara kubwa alafu ninyooke mpk kwa Yusuph ndiyo nikunje kushoto nitembee. Kifupi pale hapana maelekezo ya kutosha na yanachanganya kinoma, na traffic wamejaa pale wanasubiri ujichanganye wale kichwa. Nilivyofika kuwauliza wenyeji wangu wakanielekeza vizuri ambapo kimsingi nilitakiwa kuvuka kwenye daraja la pili baada ya kupita stand ya Magufuli ukiwa unatokea uelekeo wa Goba.
 
Hope mko salama

Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.

Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.

Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.

Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.

Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona vibao vipi pale 100Meter kabla hujaingia kwenye barabara zinazoachana vikielekeza uelekeo? Wewe sema hukuzingatia vibao, ukatumia uzoefu kumbe njia za kuchepuka ukawa umeshazipita🤣
 
Back
Top Bottom