Kwahiyo gwajima hakuahidi bara bara au nayeye mpinzani?Kawe ilikuwa chini ya upinzani wakati wa miradi ya barabara...
Pili, mradi wa ujenzi wa barabara ulilenga baadhi ya maeneo tu na mengi ni yale yenye watu wa kipato cha chini...
Sasa watu wenye kipato cha chini wanahitaji lami au kuongezewa kipato??Kawe ilikuwa chini ya upinzani wakati wa miradi ya barabara...
Pili, mradi wa ujenzi wa barabara ulilenga baadhi ya maeneo tu na mengi ni yale yenye watu wa kipato cha chini...
Sasa watu wenye kipato cha chini wanahitaji lami au kuongezewa kipato??
mahali wanakokaa wahaya ni shida watata sanaaaKuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami..ukienda Yombo kuna lami mitaani Tu .huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...Ukifika mbezi beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda Mbweni JKT angalau kuna lami za mtaani kiasi lakini mbezi beach vumbi vumbi.....yaani Manzese Hadi mto umepigwa zege.....
Kuna mtu anajua why???
Kwahiyo gwajima hakuahidi bara bara au nayeye mpinzani?
Hapa chini ni moja ya vigezo vya miradi ya DMDP ambapo ukitazama maeneo tajwa, utaona ni zile sehemu ambazo zilisahaulika...
iii) Kupandisha hadhi makazi yaliyopangwa kiholela katika Kata 14 za Tandale, Mburahati, Mwananyamala, Gongo la Mboto, Kiwalani, Ukonga, Keko, Kilakala, Mbagalakuu, Mbagala, Mtoni, Yombo Vituka, Kijichi na Makangarawe kwa kujenga kilometa 145 kwa kiwango cha lami, kuweka nyenzo za ukusanyaji wa taka ngumu, kujenga mitaro ya kutiririsha maji ya mvua, kuweka taa za barabarani, kujenga njia za watembea kwa miguu, ujenzi wa maeneo ya mapumziko na vituo vya mabasi, ujenzi wa vyoo vya umma na ujenzi wa maeneo ya michezo.
Jaribu kuwa serious hata kama kichwa chako kiko emptymahali wanakokaa wahaya ni shida watata sanaaa
Dah ilinipita hii ..
Sasa mbona Masaki kuna lami
Mbweni kuna lami?..
Why mbezi beach ndo kama imerukwa
Siyo hivyo tu The Boss. Mbezi beach, Kunduchi beach, Kawe, Bahari beach na ununio hadi tegeta ni majanga sana hasa wakati wa mvua. Barabara za mitaa zote hopeless.Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami..ukienda Yombo kuna lami mitaani Tu .huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...Ukifika mbezi beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda Mbweni JKT angalau kuna lami za mtaani kiasi lakini mbezi beach vumbi vumbi.....yaani Manzese Hadi mto umepigwa zege.....
Kuna mtu anajua why???
Mbona huo mradi umeacha Kigamboni?Masaki ina lami miaka mingi mkuu kutokana na hadhi yake...
Mbweni nayo lami haipo kila mahali bali barabara muhimu tu kama ilivyo kwa Mbezi Beach...
Pia kwa Dar kuna maeneo lami zinapelekwa kutokana na uwepo wa kiongozi au viongozi fulani...reference zipo nyingi tu
Kwani bajeti inapangwa kila baada yamuda gani nayeye ana muda gani? au unakosa majibu kwawatu wakawe kwamba ili mpate maendeleo chagueni ccm sasa wamewachagua bado mnapeleka lawama kwasiokupo tu,Sasa Gwajima si kawa mbunge juzi juzi tu hapo...