Mbeya's natural wonders: mto unapopotelea ardhini!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya's natural wonders: mto unapopotelea ardhini!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 8, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  View attachment 64344
  Hapa mahala ni Inyala, karibu na pampu ya kusukuma mafuta kwenda Zambia.
  Si watu wengi wanafahamu kuwa mahali hapo kuna mto ambao maji yake yanapotelea ardhini!!!!!!
   
 2. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,668
  Likes Received: 2,155
  Trophy Points: 280
  Thats God's gift to Greencity! Panavutia sana!
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu!
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hivi unakwenda kutokeza wapi na umbali kati ya unakoingilia na unakotokeza ni KM ngapi?
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  Mkuu hayo Maajabu hayako Mbeya pekee yake, Arusha Yako mengi kuliko hata Huko Mbeya

  1. Mto Kirurumu, Huu mto uko Mto wa Mbu wilayani Monduli, Huu mto Ulisumbua watu sana Kujua Chanzo cha Maji yake kwa sababu Hauna Kiangazi wala Masika, Na unaibukia hapo Mto wa Mbu na Kuzama tena na Kupita Chini Ya ziwa Manyara na Unaenda kumwaga maji yake Bahari Ya Hindi

  Chanzo Chake- Kuna watafiti wazungu walitafiti na Kugundua Unatoa Maji yake lake Victoria huko Mara

  2. Ziwa Duruti Arusha- Hili ziwa lina Connection na Ziwa Tanganyika kuna wajapani waliweka vitu fulani Kwenye Mikondo ya Maji huko Ziwa Tanganyika na wakaja kuvikuta Ziwa Duruti Arusha
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Serikali ipo lakini imefumbia macho ahhh kweli huko mbeya kuna Viongozi wa kweli Serikalini? wanauacha Mto maji yake yanapotea Ardhini? Hii nchi yetu kweli haina Viongozi ahhh jamani Mwenyeezi Mungu iokoe nchi yetu utupatie Viongozi wenye Kupenda Maendeleo ya nchi yetu amina.
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu lete picha za hizo sehemu tutalii kwa macho, na pochi ikikubali tutafika huko!
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  mambo kama haya huwezi kuyasikia yanapewa promo....ila yale madudu yao utayasikia yanapewa promo mpaka international level na watu wanamega posho zao kiulaiini
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  is this the photo?
  [​IMG]
   
 10. S

  Shuju Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yes,this is the photo.
   
Loading...