palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Nchi yangu inazama kama mv-bukoba-baharia okoa jahazi
inazama kweli kaka siyo utani kisa ni uroho wa madaraka na utajiri wa kuwaibia watanzania
Nchi yangu inazama kama mv-bukoba-baharia okoa jahazi
BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM
![]()
majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
![]()
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
![]()
Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
![]()
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
![]()
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
![]()
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Picha zote na Mpiga picha wetu maalum
Inawezekana ikawa ni "wapiga picha" Tiba.Kwa kweli mpiga picha amefanyakazi nzuri na katika mazingira magumu, anastahili pongezi!!!!!
Tiba
Kwa kweli mpiga picha amefanyakazi nzuri na katika mazingira magumu, anastahili pongezi!!!!!
Tiba
Mbona watu wenyewe wawili tu?
Kweli kabisa Mkuu maana picha zinatuonyesha hali halisi ya tukio na si ajabu kutakuwa na video ambazo labda zinaweza kuwekwa kule Utube kwenye muda muafaka.
Inaonekana hawa watu wawili ni ma superman wamefanya hadi wajesi waingilie kati.
Mkuu kuinyofoa ama kutokuinyofoa haina maana kama habari yenyewe ni ya ukweli ama hata kama si ya kweli,basi cha muhimu ni ku hesabu hizo siku 100 walizotowa.GUD nimeshaiweka kwenye pc yangu maana moda hawakawii kuinyofoa
Watakuwa wamfeanya kosa kubwa sana kama wameamua kutumia jeshi liwasaidie polis.....huilo kosa alilifanya Mubarak
Kituo cha polisi ilomba, kimevunjwa,watuhumiwa wamekimbia,na kimechomwa moto.Ni kituo cha polisi cha pili kuchomwa,kingine ni cha uyole.
Inasemekana watu wengine kutoka Mbalizi wameenda kuungana na wenzao kupambana na askari. Wananchi wanapiga simu redioni, wanasema hawamtaki Kandoro. Mbunge wa Mbeya mjini yupo njiani kuelekea Mbeya.
This is the time when gov. need reconciliation from the opposition.Kituo cha polisi ilomba,kimevunjwa,watuhumiwa wamekimbia,na kimechomwa moto.Ni kituo cha polisi cha pili kuchomwa,kingine ni cha uyole.Inasemekana watu wengine kutoka Mbalizi wameenda kuungana na wenzao kupambana na askari.Wananchi wanapiga simu redioni,wanasema hawamtaki Kandoro.Mbunge wa mbeya mjini yupo njiani kuelekea Mbeya.