Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

Kweli mtoa mada mgeni wa MBY. 😁
Mbeya ipo kimkakati bwamdogo, back in the days hapo tuliluwa hatuchukui mademu wa mitaa iyo unayoisema. Tulikuwa tunakwenda kwenye mashule au vyuoni na kwenyewe tunadaka wale wakutoka mikoa tulivu kama Rukwa au Sumbawanga huko, wanakuwa bado hawajawa wajanja.
We kweli unaenda chukua manzi tena wa barabarani Mafiati, Kabwe au Mwanjelwa. 😁
Bora hata Isanga kule unaweza pata demu muoga wa kuuza mbususu.

Nje ya mada: Usipotuliza wenge hapo na kujipa mda kuielewa Mbeya, mwaka mmoja tuu unapata UKIMWI hapo. Stuka mzee, mbeya akili kumkichwa. 😊
Ka mkubwa, now nasema kutongoza ni wale wadada wa kule uhindini na mitaa ya mbaliz road wa maofisini wanaonekana wamestaaribika, au nako wale wale?. Ishu nikiwa na mwanamke nataka niichakate pekeangu
 
Ka mkubwa, now nasema kutongoza ni wale wadada wa kule uhindini na mitaa ya mbaliz road wa maofisini wanaonekana wamestaaribika, au nako wale wale?. Ishu nikiwa na mwanamke nataka niichakate pekeangu

Demu wa kuchakata peke yako unaweza mpata hapo, ila utulize akili sana, wajanja wengi sana hapo. Mbeya kuna wimbi kubwa sana watoto wamezaliwa na MOTO, Utakutana na mtoto mkali mbichi hapo kumbe anakula SHUDU. 😁
Cha kukushauri hapo ni kuwa makini sana hapo, kwa hovyo sana hapo Mbeya. Chunguza chunguza sana mamanzi hapo na ujikinge bwamdogo. Hata sisi tulikuwa tunapiga ila kwa ujanja na undava mwingi sana. Mbeya ndo sehemu unaweza mnunulia malaya chipsi kavu ukalala nae mpaka asubuhi na ukampa elfu mbili. 😁
Kila la kheri.
 
Demu wa kuchakata peke yako unaweza mpata hapo, ila utulize akili sana, wajanja wengi sana hapo. Mbeya kuna wimbi kubwa sana watoto wamezaliwa na MOTO, Utakutana na mtoto mkali mbichi hapo kumbe anakula SHUDU. 😁
Cha kukushauri hapo ni kuwa makini sana hapo, kwa hovyo sana hapo Mbeya. Chunguza chunguza sana mamanzi hapo na ujikinge bwamdogo. Hata sisi tulikuwa tunapiga ila kwa ujanja na undava mwingi sana. Kila la kheri.
Now nimeabstain, niko na dry spell kama ya miez mi 3, maana ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni kujitoboa toboa tuu. Mi kama vipi naachana bhana na wanawake wa huku, wananiboa kinyama. Toka nije huku sijabahatika kupata mwanamke wa pekeangu yaani, ni full kamba.
 
Dogo maisha ni mbinu, upwiru samtaimu ukiuendekeza jau. 😁
 
Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Hivi hili ni la kulisemea mkoa wa Mbeya tu?! Bhasi ndugu yangu hujazunguka mikoa mingi hii Tanzania especially miji mikubwa. Alafu kingine being a friend suggested in Facebook ni muunganiko wa kuwa sehemu moja (Location), kuwa na number ya simu ya muhusika au inategemea na mutual friends walioko kati yenu na si vinginevyo. Kama unavyojiona wewe kuwa kwenye platforms nyingi na wao wana haki ya kuwepo huko pia kwasababu kama zako. Hayo mengine ni ya ziada tu ambayo yanapatikana mikoa yote na duniani kote. Labda uende kuishi kwenye sayari yako pekw yako au North Korea wanaotumia intranet😂😂
 
Now nimeabstain, niko na dry spell kama ya miez mi 3, maana ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni kujitoboa toboa tuu. Mi kama vipi naachana bhana na wanawake wa huku, wananiboa kinyama. Toka nije huku sijabahatika kupata mwanamke wa pekeangu yaani, ni full kamba.
Amia Mbalizi Ifisi kwa watoto washamba washamba wanaotoka Rukwa kuja kusoma chuo cha afya pale kama unataka wa peke yako.😀
 
Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Kula kimyakimya,chapa lapa.
 
Wadada wengi kibaha Tinder hawaijui wala badoo, kuna dizain unauona utofauti.
Kwahiyo kuijua Tinder na badoo ndio kipimo cha kutokutulia?
Vipi kuhusu wadada wanaojiuza live bila kutumia hiyo mitandao,wao wanakua wametulia coz hawaijui hiyo mitandao?

Wewe hua unaenda kwenye hiyo mitandao kufanya nini? huoni kua na wewe una mchango katika kutokutulia kwao coz hakuna supply bila demand kwenye biashara.
 
Yaani kule mdada anaishi Ilomba lakini network yake inasoma mpaka Tunduma, na bado anakuambia "nimepoa home nakuwaza wewe tu."

Mbeya mjini ni kama soko la Mwanjelwa kila mtu ni mteja na kila bidhaa ina ofa, ukiona mdada mstaarabu sana kule, jua huyo ni guest Player ametokea mkoani.

Ukitaka wa kutulia naye Mbeya labda uhamie milimani kule Rungwe, maana hapo mjini kati ni mwendo wa pasi fupi fupi na kukaba kote kote!
 
Huo ndo ukweli, watu watakuja na reply zao kuniuliza Hadi mama yangu yupo kwenye list, utadhani kuna mama mwanaume 😂
2E346211-D202-4E1B-ADAC-ABA99DAA3AD4.jpeg

Basi sawaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom