Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

Kwahiyo kuijua Tinder na badoo ndio kipimo cha kutokutulia?
Vipi kuhusu wadada wanaojiuza live bila kutumia hiyo mitandao,wao wanakua wametulia coz hawaijui hiyo mitandao?

Wewe hua unaenda kwenye hiyo mitandao kufanya nini? huoni kua na wewe una mchango katika kutokutulia kwao coz hakuna supply bila demand kwenye biashara.
Sio kwamba mi nipo ila napendaga kuangalia simu tu ya mtu, ile kutupia tupia jicho nini kinaendelea. Tabia ya mtu siku hizi ipo kwenye simu aisee.
 
Yaani kule mdada anaishi Ilomba lakini network yake inasoma mpaka Tunduma, na bado anakuambia "nimepoa home nakuwaza wewe tu."

Mbeya mjini ni kama soko la Mwanjelwa kila mtu ni mteja na kila bidhaa ina ofa, ukiona mdada mstaarabu sana kule, jua huyo ni guest Player ametokea mkoani.

Ukitaka wa kutulia naye Mbeya labda uhamie milimani kule Rungwe, maana hapo mjini kati ni mwendo wa pasi fupi fupi na kukaba kote kote!
Ni hatari mzee, wadada wa ilomba jau kinoma noma.
 
Kwahiyo kuijua Tinder na badoo ndio kipimo cha kutokutulia?
Vipi kuhusu wadada wanaojiuza live bila kutumia hiyo mitandao,wao wanakua wametulia coz hawaijui hiyo mitandao?

Wewe hua unaenda kwenye hiyo mitandao kufanya nini? huoni kua na wewe una mchango katika kutokutulia kwao coz hakuna supply bila demand kwenye biashara.
Hii topic wanaume wa JF utashikana nao
mashati, Walishakataa kuwa umalaya ni ā€œtwo way street ā€œ Walishasema kuwa mwanamke ndio malaya mwanamume si malaya.
 
Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba.

Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Mh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom