Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 130
Kwanza nikupongeze kwa kauli nzito kama hii. Ni vizuri umelisemea hili la udini, maana nilidhani wanasingiziwa hawa jamaa. Kumbe hata ninyi wanasiasa mnakubaliana nalo huko kwenye vyama vyenu.
Pili, kama kweli kuna ukiukwaji wa sheria katika ujazaji wa hizo fomu, haijalishi ni nani anaweka pingamizi as long as amefuata taratibu zilizopo kisheria. Haya mambo ya kujifanyia mambo kiholela ndiyo yameifikisha hii nchi hapa mahali tulipo. Lazima tukubali kumeza machungu yatokanayo na kukurupuka kwetu bila kuangalia taratibu zikoje. Na kwa chama makini, linapotokea kosa la kiufundi kama hilo suluhu siyo kukimbilia kulaumu waliokuwekea pingamizi ama sheria iliyopo ila ni kujipanga upya ili kesho na keshokutwa haya yasijitokeze. CUF wana haki kabisa ya kuweka pingamizi kwa vile ni chama cha siasa cha upinzani dhidi ya vyama vingine vyote vyenye usajili hapa nchini. Haya mambo ya kujitengenezea sijui muungano wa vyama ni upumbavu tu, labda viamue kujiua na kuunda chama kimoja ndipo nitawaelewa.
Suala la tatu ni hivi: Hao wagombea wa vyama vingine waliapishwa na nani iwapo ilikuwa vigumu kwa mgombea wa Chadema kupata mahali halali (kwa sheria za uchaguzi) pa kwenda kuapa kwa kisingizio cha siyo siku ya kazi?
Na je, ni kwa nini hakuna aliyelalamikia kwamba fomu za wagombea zisingeweza kurudishwa siku hiyo kwa vile ingekuwa vigumu kwa wahusika kukamilisha matakwa ya kisheria ikiwemo ni pamoja na kuapa kwa mamlaka halali? Hii yote ni kwa sababu ya kukurupuka tu bila kuwa makini.
MKuu; viapo vyangu vya chuoni kusoma; kwenda nje; kiwanja; shamba; mkopo wangu vyote sikwenda kwa Hakimu wilaya- je ni batili- maanake mamlaka zote hizo zinafanya kazi kinyume? kiapoa cha uchaguzi kina sheria yake? mnijuze jamani sio ushabiki maana hapa ni sheria tu
Kuna sheria mbili (kuu) zinazohusiana na masuala ya viapo-kuna sheria ya Oaths (Judicial proceedings) na Statutory Decralation act-1966.
Sheria hizi zinampa hakimu na wakili mamlaka ya kutoa viapo.
lakini sheria ya uchaguzi inakipengele kinachosema kuwa mtu anayewania nafasi ya uongoni ni sharti ale kiapo kwa Hakimu tu.
kwa hiyo hapa ni suala la tafisir ya sheria. Chadema wanaweza kusimama katika sheria hizo mbili mama na kusema kuwa mgombea wao alikuwa sahihi kula kiapo kwa wakili. lakini wakati huo huo, Tume inaweza kusimama kwenye sheria ya uchaguzi ambayo inataka mgombea kula kiapo kwa hakimu
Katika maelezo yako sijaona mahali popote uliposema uliapa kwa ajili ya kushiriki uchaguzi.
Vipo viapo vya aina nyingi tu; na taratibu zake ziko wazi. Mojawapo ni hivyo ulivyoapa wewe kwa taratibu zilizopo (na iwapo kuna sheria ilivunjwa wakati una kula kiapo, hilo ni kosa kama mengine).
Hata Rais wa nchi ana kiapo chake; waziri, katibu mkuu n.k. Na hao wote wanaapishwa na mamlaka zilizotajwa kisheria na kikatiba.
Kuna sheria mbili (kuu) zinazohusiana na masuala ya viapo-kuna sheria ya Oaths (Judicial proceedings) na Statutory Decralation act-1966.
Sheria hizi zinampa hakimu na wakili mamlaka ya kutoa viapo.
lakini sheria ya uchaguzi inakipengele kinachosema kuwa mtu anayewania nafasi ya uongoni ni sharti ale kiapo kwa Hakimu tu.
kwa hiyo hapa ni suala la tafisir ya sheria. Chadema wanaweza kusimama katika sheria hizo mbili mama na kusema kuwa mgombea wao alikuwa sahihi kula kiapo kwa wakili. lakini wakati huo huo, Tume inaweza kusimama kwenye sheria ya uchaguzi ambayo inataka mgombea kula kiapo kwa hakimu
Asanate sana Mpita Njia; walau umenitoa tongo tongo; SO for this sheria zinapingana? kila mtu anaweza kuchukua msimamo wake?; maana mie mbumbumbu wa sheria lakini at the end of the day lazima ipo sheria ambayo haiendi kinyume na Katiba na ambayo ndiyo itafuatwa;ebu tujuze zaidi mkuu au yeyote mwenye upenyo; this is technical sio ushabiki
Kuna sheria mbili (kuu) zinazohusiana na masuala ya viapo-kuna sheria ya Oaths (Judicial proceedings) na Statutory Decralation act-1966.
Sheria hizi zinampa hakimu na wakili mamlaka ya kutoa viapo.
lakini sheria ya uchaguzi inakipengele kinachosema kuwa mtu anayewania nafasi ya uongoni ni sharti ale kiapo kwa Hakimu tu.
Kwanza nikupongeze kwa kauli nzito kama hii. Ni vizuri umelisemea hili la udini, maana nilidhani wanasingiziwa hawa jamaa. Kumbe hata ninyi wanasiasa mnakubaliana nalo huko kwenye vyama vyenu.
Pili, kama kweli kuna ukiukwaji wa sheria katika ujazaji wa hizo fomu, haijalishi ni nani anaweka pingamizi as long as amefuata taratibu zilizopo kisheria. Haya mambo ya kujifanyia mambo kiholela ndiyo yameifikisha hii nchi hapa mahali tulipo. Lazima tukubali kumeza machungu yatokanayo na kukurupuka kwetu bila kuangalia taratibu zikoje. Na kwa chama makini, linapotokea kosa la kiufundi kama hilo suluhu siyo kukimbilia kulaumu waliokuwekea pingamizi ama sheria iliyopo ila ni kujipanga upya ili kesho na keshokutwa haya yasijitokeze. CUF wana haki kabisa ya kuweka pingamizi kwa vile ni chama cha siasa cha upinzani dhidi ya vyama vingine vyote vyenye usajili hapa nchini. Haya mambo ya kujitengenezea sijui muungano wa vyama ni upumbavu tu, labda viamue kujiua na kuunda chama kimoja ndipo nitawaelewa.
Suala la tatu ni hivi: Hao wagombea wa vyama vingine waliapishwa na nani iwapo ilikuwa vigumu kwa mgombea wa Chadema kupata mahali halali (kwa sheria za uchaguzi) pa kwenda kuapa kwa kisingizio cha siyo siku ya kazi?
Na je, ni kwa nini hakuna aliyelalamikia kwamba fomu za wagombea zisingeweza kurudishwa siku hiyo kwa vile ingekuwa vigumu kwa wahusika kukamilisha matakwa ya kisheria ikiwemo ni pamoja na kuapa kwa mamlaka halali? Hii yote ni kwa sababu ya kukurupuka tu bila kuwa makini.
Kaka kama una uhakika na hili.... well but kwa mfano sheria ya mazingira ya 2004 inasema wazi kuwa kama kuna sheria nyingine za mazingira e.g. forect Act, Regulations zinapinga nao basi hii ya Mazingira ngo last say. Je, kwenye sheria ya uchaguzi hii ipo? Je unaweza kuweka masharti bila kuwa na Principal Act?
Tatizo la Tanzania ni hizi sheria za kutegeana. Mahali pengine popote kunakuwa na muda wa kufanya marekebisho kama mtu amefanya makosa. Akishindwa kurekebisha basi ndio anachukuliwa hatua.
Ilitakiwa kuwe na wiki moja ya kuwakilisha forms ili hao tume wazipitie na wale wanaopinga jambo wafanye hivyo na kisha mhusika anapewa muda wa kurekebisha hizo kasoro. Akishindwa hapo ndipo ingekuwa sawa kutolewa.
Ila nao CHADEMA ilikuwaje wakashindwa kuiona na kuelewa maana ya sheria hiyo. Tatizo la Tanzania ni watu kujifanya wako juu ya sheria na mara nyingi kupenda mambo ya mkato mkato. Mwanasheria anashindwa kufuata sheria kisha anasingizia muda na sikukuu? Hao viongozi wa kitaifa nao hawakuliona hilo? Kwenye sheria lazima tuwe makini, hakuna kupindisha sheria. Kama haifai basi tuipinge ili ibadilishwe huko mbeleni.
Ukiwa chama cha upinzani, tena Afrika lazima uchukue extra care kuhakikisha unafanya mambo yote kwa mujibu wa sheria.
Tumekosa utamu wa mpambano kati ya CCM na CHADEMA.
Mkuu, sheria ya mazingira ilitungwa huku watungaji wakujua kuwa kuna baadhi ya sheria ambazo zilikuwa zinapingana na baadhi ya makatazo waliyokuwa wameyaweka kwenye sheria hiyo, na ndio maana wakaweka angalizo hilo.
Kwa upande wa sheria hizi tatu, kwanza hakuna kati yazo yenye kipengele kama hicho. Na kimsingi, hakuna kipengele hicho kwa sababu sheria hizo zote hazipingani. Zile sheria za kuapiasha za awali, zinatoa mamlaka kwa hakimu na mawakili kuapisha. Sheria ua uchaguzi inasema atakayeapisha wagombea ni hakimu (ambaye ameshaidhinishwa kuapishwa kwenye ile sheria ya awali). Hivyo hakuna mgongano wa sheria hizi. Kinachogomba hapa ni tafsiri tu ya sheria hizi, wakati Tume inasimamia kwenye sheria ya uchaguzi, Mgombea wa chadema anasimamia kwenye sheria zile nyingine.
Lakini kwa sababu kinachofanyika ni uchaguzi, tukio ambalo lina specific piece of legislation, nadhani Tume wanaweza kwua sahihi zaidi wka sababu wanatumia specific legislation kuhusiana na tukio linalotokea. Mgomba wa chadema anaweza kuwa sahihi kuapa kwa wakili wka sababu sheria inaruhusu hivyo lakibni sheria ya uchaguzi haitaki hivyo na inatoa specific directives za namna ya kuapa
Mimi siku zote sitafungamana na mtu yeyeote aishindwa kuelewa hata kama ni rafiki yangu sana .Wewe Mtanzania tumekaa sote hapo UK u rafiki yangu sana kama ES lakini nakupinga hapa .
Sheria iko wazi na pia kuna kutegeana umesema vyema .Ila unaambiwa siku ya kula kiapo ilikuwa sikukuu Hakimu angalipatikana wapi ili kiapo kitolewe ? Sasa wakasema kwa kuwa sheria inaruhusu wote 2 kutoa kiapo then twende kwa aliyeko jirani maana yeye anapatikana .Sasa nani yuko juu ya sheria hapa wandugu ?
Kuna mwanasheria amenipa hints labda tuzifanyie kazi;
- Hii sheria ya uchaguzi inasupersede sheria nyingine?
- Ipi sheria ya kwanza kutoka inakuwa affected na sheria nyingine kama katiba haikusema?
- Wakili na Hakimu katika sheria za kimahakama zinasemaje?
Ameniambia kuwa nikiweza kujibu haya basi nitapata mwanga maana sikutoa ahadi ya kumlipa.
asanteni