Mbeya: Uhaba wa Cement

GUI1

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
3,759
4,810
Wakuu za jioni
Hapa jijini Mbeya cement aina ya Nyati na Supaset zimekuwa adimu sana.
Ukizingatia hizi cement ndio cement zinazo tumika mara nyingi sana kwasababu ya nguvu yake yaani 42.5.
Naiomba swrikali itupie jicho la tatu kwenye hili swala
 
Hapo mbeya si ndio hapo Jamaa alisema "tunaishukuru serikali ya CCM kwa kutuletea mbeya kupatwa kwa jua tunaomba awamu ijayo isitusahau"
 
Mkuu huja kosea kabisa yaani hiki kiwanda ni kama hakipo kabisa.
Cement hapa Mbeya wanauza bei juu lkn ukifika Makambako tu hapo nasikia inakuwa chini
Sidhani kama kuna kiwanda cha cement kikongwe kilicholala usingizi kwa Tz kama hiki!
 
Back
Top Bottom