Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Yuko bize na vinega.
acha utahira wewe..
Yuko bize na vinega.
Soko la Uyole mkoani Mbeya linateketea kwa moto, jitahada za kuuzima zinaendelea, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Kwa kweli ukifanyia biashara masoko ya Mbeya inabidi uwe na bima ya moto.
Kwa kweli ukifanyia biashara masoko ya Mbeya inabidi uwe na bima ya moto.
Mwe whaa! Huli yenu wu mbeye ntele... twafwaa yooo....hiiiii unanu ayinze atwavwe yooo....mai wee!
Soko la Uyole mkoani Mbeya linateketea kwa moto, jitahada za kuuzima zinaendelea, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
umeonaeee,hapa moshi walikua wanafanya hvy tukawashtukia wakaachatushazoea huko Mbeya kwa mwaka lazima masoko mawili yaunguzwe itakuwa ni makusudi tu!
Umesahau soko la Forest!I really fail to understand whats going on there. Kila siku masoko yanawaka moto Mbeya. Nimeanza kuingiwa na mashaka inawezekana ni hujuma hizi. Wahusika basi mtupe majibu, nini hasa kinasababisha masoko manne..Mwanjelwa, Sido, Uhindini, na sasa Uyole.
I really fail to understand whats going on there. Kila siku masoko yanawaka moto Mbeya. Nimeanza kuingiwa na mashaka inawezekana ni hujuma hizi. Wahusika basi mtupe majibu, nini hasa kinasababisha masoko manne..Mwanjelwa, Sido, Uhindini, na sasa Uyole.
tribalism at work!!!mbombo ngafu!!
Infact you're great lier; which facts can auntheticate your comment?