Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Huo ujasiri wa kula limwanamme lenye ngozi ngumu kama hilo watu wanatoa wapi.
 
Ila hii hukumu inabidi iende extra mile iwe kwa anayeruhusu kuingiliwa na mwanaume mwenzake na pia imuangazie na yule anayekubali ruhusa ya kumuingilia mwanaume mwenzake.
 
Hatuwezi kujenga kizazi cha mashoga

Actually, nyie ndio WAJENZI BINGWA WA USHOGA.

Huko majumbani mwenu mnawafira watoto wadogo wa sekondari na shule ya msingi mkijifanya ati ni wajomba.

Baadaye hao watoto mliowanajisi wakipata madhara ya kisaikolojia, wanageuka kuwa mashoga halafu MNATAKA KUWAFUNGA JELA.

Huu ni UBINAFSI na UPUMBAVU wa hali ya juu sana.

Nyie mabaradhuli mnaolawiti watoto ndio mnaotakiwa KUSHUGHULIKIWA KWELI KWELI MPAKA MNYOOKE KAMA RULA.
 
Screenshot_20230407-124016.jpg
 
Hata huko Marekani kwenyewe ni vilio tu,

Becket Cook, an ex gay. Nime subscribe YouTube yake but Sijamfuatilia kujua kama ni authentic nasomaga tu comments kwenye video zake wazazi wanavyolia na kuomba miujiza huko....nani afurahie habari za mavi
 
Nendeni Ujerumani bwana...na mkae huko mtuache na nchi yetu msituletee Habari za mavi hapa @maviactivist
 
CAN THE REAL MEN OF THIS COUNTRY PLEASE PROTECT OUR CHILDREN?

Real men,
The leaders and protectors of society,
Sio wenye ndevu na misuli halafu wanabong'olea wanaume wenzao
 
Hii ni hatari yaani Binadamu tumekuwa ni Wajinga baada ya kujiona tuna maarifa mengi sana 🙁🙁🙁
 
Aiseee huyo Hakimu anajielewa kweli?
Unamfungaje Mtu kwa kutumia hisia zako bila kua na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani, kukiri peke yake sio kigezo bila ushahidi, what if alitishiwa maisha ili akiri?

Na hao waliokua wanamuingilia wapo wapi? Je kuachwa kwao si wataendelea kuingilia na wengine?

Sijawahi kusikia kosa la "kuruhusu kuingiliwa" akiwa kwenye mazingira yapi? What if amekua blackmailed? What if hana utimamu wa akili? Huyo Hakimu hana sifa wala vigezo vya hiyo kazi,

#Justice kwa Kibakuli
 
CAN THE REAL MEN OF THIS COUNTRY PLEASE PROTECT OUR CHILDREN?

Real men,
The leaders and protectors of society,
Sio wenye ndevu na misuli halafu wanabong'olea wanaume wenzao
Hao watoto wenu wanaprotectiwa vipi wakati wanaowaingilia mnawaacha mtaan wanadunda halafu watoto wenu walioingiliwa wanatupwa jela,

Mbona kama tumekua na jamii ya hovyo sana?

Ni sawa na kumfunga teja halafu muuza unga anadunda akiendelea kuuzia wengine
 
Hao watoto wenu wanaprotectiwa vipi wakati wanaowaingilia mnawaacha mtaan wanadunda halafu watoto wenu walioingiliwa wanatupwa jela,

Mbona kama tumekua na jamii ya hovyo sana?

Ni sawa na kumfunga teja halafu muuza unga anadunda akiendelea kuuzia wengine
Kuna mahali tumesema wanaowaingilia waachwe???
 
Hakuna cha kutofautisha majina hapa sijui basha sijui shoga nyie wote mashoga, muende Ujerumani na Marekani huku tuacheni...

Mnaokataa early marriage, visichana vinachezeana huko mwishowe vinafikiri ni lesbians, aisee umri wa kuozesha watoto ushushwe jana nilipendekeza 16? Ibaki hiyo hiyo 14, ama vipi ushushwe zaidi, msituletee usagaji hapa
 
Back
Top Bottom