MBEYA: Rais Magufuli ahutubia wananchi Uwanja wa Ruanda Nzovwe. Agusia usajili wa laini na machinga

Rais John Magufuli amewaagiza viongozi wa mkoa wa Mbeya kuandaa eneo la Uwanja wa Ndege wenye zaidi ya hekta 5 ili kuwa eneo la wamachinga.

Pia kama kutakuwa na eneo linalobakia wameagizwa kujenga soko la dhahabu huku akiagiza kujengwa kwa vyoo pamoja na sehemu ya kupaki magari.

Ameyasema hayo leo Aprili 26, 2019, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda, Nzovwe jijini Mbeya.

Rais Magufuli amesema baada ya wamachinga kuhamia eneo hilo na kuanza kufanya biashara wasidaiwe ushuru hasa pale wanapokuwa wamevaa vitambulisho shingoni.

“Lazima tukubaliane, katika nchi yoyote lazima kuwepo na utaratibu haiwezekani watu wanaolipa fedha nyingi TRA wenye maduka makubwa kila siku yeye akifungua anamgusa mmachinga ameng’ang’ania pale, kuwa mmachinga siyo kuvunja utaratibu,” amesema.

“Wapo wanaofanya biashara wanaolipa mamilioni TRA ndiyo yanasaidia kununua madawa, kutengeneza barabara, kuendesha nchi ni lazima tuwape uhuru wa kufanya biashara ili wanapoenda kulipa kodi waone wamelipa kwa haki,” amesema.

Rais Magufuli alitumia muda huo pia kuwaonya wamachinga juu ya ufanyaji holela wa biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa kama msikitini, kanisani na Ikulu.

“Wafanyabiashara wote Tanzania ninaposimama kuwatetea haina maana mfanye biashara popote lakini na nyie viongozi msiwafukuze na badala yake mtafute namna ya kuwaruhusu kufanya biashara,” alisisitiza.
 
Nafuatilia mkutano Wa mh rais na wakazi Wa mbeya kwa utangulizi wameongea na kutoa salam viongozi wengi wakiwemo mawaziri,diwani,naibu spika Wa bunge,mkuu Wa mkoa nk

Uwanja ulilipuka kwa shangwe pale alipoitwa mbunge Wa mbeya mjini kuja kusalimia,nikaamini hakika muheshimiwa sugu anakubalika vilivyo mbeya mjini.
Sugu 2020 kura hazitamtosha hata afanyeje, wana CCM tupo imara, tumeimarisha ngome ile noma, yaani yeye mwenyewe analijua hilo, kama ilivyokuwa Mwanza na ndivyo itakavyokuwa kwa wana Mbeya, wanambeya wamechoka kuwa na mbunge mtukanaji, mvunjivu wa amani, hana adabu kwa wakubwa zake, maana ukienda uyole na mitaa mingine Sugu hawamtaki kabisa tena hatakiwi kabisa
 
Bibi Tulia Ackson mifupa tupu yani nahisi bwanake anapatwa na maumivu makali sana akimaliza kumgegeda manake yule Dada mifupa tu ndo inaonekana kila pembe
Sinachama naomba tuongelee Siasa anaeumba nimungu nakilammoja anaumuhimu wake ndiomaana kaumbwa nampaka sasa yupo
 
Tatizo lako ni ushamba ndiyo unao kusumbua kwani ukichangia hoja bila kutukana hautaeleweka au kutukana ndiyo kutaifanya TBC ipendwe?
Unapaniki nini we tako? Ukitoa hyo azam kwan hao wengine matangazo wanachukulia wapi
 
Rais John Magufuli amewaagiza viongozi wa mkoa wa Mbeya kuandaa eneo la Uwanja wa Ndege wenye zaidi ya hekta 5 ili kuwa eneo la wamachinga.

Pia kama kutakuwa na eneo linalobakia wameagizwa kujenga soko la dhahabu huku akiagiza kujengwa kwa vyoo pamoja na sehemu ya kupaki magari.

Ameyasema hayo leo Aprili 26, 2019, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda, Nzovwe jijini Mbeya.

Rais Magufuli amesema baada ya wamachinga kuhamia eneo hilo na kuanza kufanya biashara wasidaiwe ushuru hasa pale wanapokuwa wamevaa vitambulisho shingoni.

“Lazima tukubaliane, katika nchi yoyote lazima kuwepo na utaratibu haiwezekani watu wanaolipa fedha nyingi TRA wenye maduka makubwa kila siku yeye akifungua anamgusa mmachinga ameng’ang’ania pale, kuwa mmachinga siyo kuvunja utaratibu,” amesema.

“Wapo wanaofanya biashara wanaolipa mamilioni TRA ndiyo yanasaidia kununua madawa, kutengeneza barabara, kuendesha nchi ni lazima tuwape uhuru wa kufanya biashara ili wanapoenda kulipa kodi waone wamelipa kwa haki,” amesema.

Rais Magufuli alitumia muda huo pia kuwaonya wamachinga juu ya ufanyaji holela wa biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa kama msikitini, kanisani na Ikulu.

“Wafanyabiashara wote Tanzania ninaposimama kuwatetea haina maana mfanye biashara popote lakini na nyie viongozi msiwafukuze na badala yake mtafute namna ya kuwaruhusu kufanya biashara,” alisisitiza.
Hujielewi wewe,machinga ni wafanyabiashara wa kutembea tembea(hawkers) machinga sio soko kusema watengewe eneo.
Machinga hufuata Wateja walipo.Nenda machinga complex kaangalie ndipo utajifunza kuwa machinga sio watu wa kutengewa uwanja wa ndege wakafanye biashara,hakuna mmachinga ataenda huko polini kupeleka bidhaa
 
Pumbaff sio tusi au sio? Rejea kauli yako ya kwanza ndo ujue kwann nmekutukana wewe ndo ulie anza, afu ujue sio kila MTU anaangalia TV kama unavotaka wewe Fanya kazi kijana acha kulialia hakutakusaidia na utachukia kila kitu na MTU bila sababu
Tatizo lako ni ushamba ndiyo unao kusumbua kwani ukichangia hoja bila kutukana hautaeleweka au kutukana ndiyo kutaifanya TBC ipendwe?
 
Hujielewi wewe,machinga ni wafanyabiashara wa kutembea tembea(hawkers) machinga sio soko kusema watengewe eneo.
Machinga hufuata Wateja walipo.Nenda machinga complex kaangalie ndipo utajifunza kuwa machinga sio watu wa kutengewa uwanja wa ndege wakafanye biashara,hakuna mmachinga ataenda huko polini kupeleka bidhaa
airport ya zamani iko mjini pale pale karibu na kabwe Uwanja ule hautumiki ndipo watafanyia biashara
 
Back
Top Bottom