Mbeya Pazuri...

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,022
26,352
Naam Niko mbeya Pazuri hapa

From Tanga mjini to mbeya.

Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.

Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar

Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.

nani Yuko hapa anakula lager
 
Mbeya patamu Jamani cah, I will never forget the experience
 
Wa msovero nimetoka huko kama wiki na nusu Acha kabisa,kumbuka Ka utaratibu Ka ndom...Ila Luna watoto wazuri....
Naam Niko mbeya Pazuri hapa

From Tanga mjini to mbeya.

Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.

Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar

Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.

nani Yuko hapa anak
 
Wa msovero nimetoka huko kama wiki na nusu Acha kabisa,kumbuka Ka utaratibu Ka ndom...Ila Luna watoto wazuri....
Mzee Mimi hata ninywe krate akili yangu Iko intact sana yaani akili inafanya kazi maradufu.

Ndomu ndio mshikaji muaminifu sana
 
Back
Top Bottom