Inawezekanaje mkoa unaochangia mapato makubwa kuliko Dodoma una miundombinu duni hivi?
Ni important Region kwenye uchumi wa Tanzania lakini barabara zake ni mbovu sana hususani mitaani, hakuna barabara za lami
Nilikuwa Dodoma, nimeona kuna sehemu ambazo hata hazipo busy zimewekewa njia nne tayari. I mean ni vizuri kuona Dodoma ina infrastructure vizuri ila Mbeya inahitaji same treatment pia. Sawa sio makao makuu ya nchi, lakini ina mchango mkubwa kwa taifa kuliko mkoa wa Dodoma
Why serikali haiipi Mbeya attention it deserves?
View attachment 3697469