Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,860
- 40,494
Unasikiliza propaganda za amphibia?Sasa mbona maandamano yao yana watu wengi?
Unasikiliza propaganda za amphibia?Sasa mbona maandamano yao yana watu wengi?
Wana kiburi cha Mamlaka. Nothing more.Huo msafara ungesubiri kwani Chadema ilisha ruhusiwa...Viongozi wajifunze kustaraabika
Tunakuwa kama primitivu
Hao ni nyumbu,wanawezaKwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?