Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,757
sasa JOMBI ALIFUNGWA , YUko hai ama ? hii stori ya Jombi imeniacha kinywa wazi
Hapo sasa, Yule mchezaji wa Simba S.C. Emmanuel Gabriel Mwakyusa anatoka Mbeya maeneo haya haya ya Iyunga
bado nasisimka na hadithi za JOMBI, ANGALAU AMEKUA rAIA MWEMA, ukute Ufundi alijifunzia Mbeya, nikitoka Mpwapwa nataraji kwenda Mbeya, bila shaka nitamtafuta huko SOWETO.Jombi ni mzima kabisa na yuko pale Soweto (Mbeya). Ana gereji yake pale, ina jina la VETA, nadhani wanafunzi wa VETA wa auto mechanics wanajifunzia pale. Nilimkuta tarehe 26/12/2009 nilipokwenda kukarabati gari langu pale, yuko fiti kinoma.
Hata mie nilikuwa simfahamu hadi nilipooneshwa na watu kwamba ndio yeye, na wala sikujua kwamba ile gereji ni ya kwake.
bado nasisimka na hadithi za JOMBI, ANGALAU AMEKUA rAIA MWEMA, ukute Ufundi alijifunzia Mbeya, nikitoka Mpwapwa nataraji kwenda Mbeya, bila shaka nitamtafuta huko SOWETO.
Tununutwambombo
Nafikiri na mto Ruaha chanzo chake ni Mbeya