Mbeya: Mtoto aliyezikwa jana akutwa chumbani kwake mara baada ya mazishi

Wakazi wa eneo la Isanga katika jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa na mikasa, ushilawadu na matukio ya vioja, baada ya mtoto wa miaka 9 aliyekuwa amezikwa jana kwenye makaburi ya Isanga kukutwa akiwa kitandani kwake amelala usingizi mara baada ya kurejea kutoka makaburini.

Mara baada ya kufika nyumbani familia ikiwa inaingia ndani mwao, walipigwa na butwaa baada ya kukuta mtoto wao amelala kitandani kwake, na baada ya kuitana na kumwamsha mtoto huyo aliamka na kuonekana akishangaa hali aliyoiona pale nyumbani.
Kwa pamoja wananchi na wanafamilia walikubaliana asubuhi hii kwenda kufukua kaburi hilo ili waone nini kilichozikwa, na hivi dakika hizi zoezi hilo linaendelea na picha za makabuni hapo . MTAJUZWA KINACHOENDELEA

UPDATES KUTOKA ENEO LA TUKIO
KABURI LIMEFUKULIWA, HAKUNA KILICHOKUTWA NDANI YA KABURI YAANI MAITI ILIYOZIKWA JANA HAIMO!! POLISI WAMELAZIMIKA KUPIGA MABOMU ILI KUTAWANYA WATU PALE MAKABURINI BAADA YA KUANZA HALI YA SINTOFAHAMU JUU YA NINI KIMETOKEA?

View attachment 460851 View attachment 460855

======
UPDATES:

Kutoka katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm wamemuhoji Kamanda wa Polisi wa Jiji la Mbeya ambaye amatoa maelezo kuwa, ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa mwili wa mtoto huyo ulisahaulika kuwekwa katika sanduku na baada ya ibada mwili haukuagwa (Familia iliomba hivyo na ni kawaida).

Baada ya kuzika waliporudi nyumbani ndipo waliukuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umelala kitandani. Jeshi la Polisi liliimarisha ulinzi katika maeneo hayo ya msiba.

Mmoja ya watangazaji wa Leo Tena amesema kuwa amewasiliana na mmoja ya wadau wake huko Mbeya na amemthibitishia kuwa kaburi limefukuliwa na jeneza limekutwa likiwa tupu halina kitu.

Inavyoonekana kuna uzembe katika kuandaa mwili na kuuweka katika jeneza, ingawa pia majirani na watu wanaoishi mazingira hayo wanahusisha na imani za kishirikina.

Lakini cha msingi. ni kweli maiti ilifufuka hata kama walisahau kuweka kwenye jeneza.
 
Wamefukua kabur hawajakuta kitu mam mkubwa wa marehe amesem kuwa walivomkuta vile waliwaita watumish wa mungu walivoomb wakmuita huyo mtot akamka akapumua mar tat akatok damu puan na mdom kish akazim gafl maaskal wakafik wakbeba hiy maiti kwend kuifadhi
 
mbona hamueleweki? yupo hai au amekufa?
 
Wakazi wa eneo la Isanga katika jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa na mikasa, ushilawadu na matukio ya vioja, baada ya mtoto wa miaka 9 aliyekuwa amezikwa jana kwenye makaburi ya Isanga kukutwa akiwa kitandani kwake amelala usingizi mara baada ya kurejea kutoka makaburini.

Mara baada ya kufika nyumbani familia ikiwa inaingia ndani mwao, walipigwa na butwaa baada ya kukuta mtoto wao amelala kitandani kwake, na baada ya kuitana na kumwamsha mtoto huyo aliamka na kuonekana akishangaa hali aliyoiona pale nyumbani.
Kwa pamoja wananchi na wanafamilia walikubaliana asubuhi hii kwenda kufukua kaburi hilo ili waone nini kilichozikwa, na hivi dakika hizi zoezi hilo linaendelea na picha za makabuni hapo . MTAJUZWA KINACHOENDELEA

UPDATES KUTOKA ENEO LA TUKIO
KABURI LIMEFUKULIWA, HAKUNA KILICHOKUTWA NDANI YA KABURI YAANI MAITI ILIYOZIKWA JANA HAIMO!! POLISI WAMELAZIMIKA KUPIGA MABOMU ILI KUTAWANYA WATU PALE MAKABURINI BAADA YA KUANZA HALI YA SINTOFAHAMU JUU YA NINI KIMETOKEA?

View attachment 460851 View attachment 460855

======
UPDATES:

Kutoka katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm wamemuhoji Kamanda wa Polisi wa Jiji la Mbeya ambaye amatoa maelezo kuwa, ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa mwili wa mtoto huyo ulisahaulika kuwekwa katika sanduku na baada ya ibada mwili haukuagwa (Familia iliomba hivyo na ni kawaida).

Baada ya kuzika waliporudi nyumbani ndipo waliukuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umelala kitandani. Jeshi la Polisi liliimarisha ulinzi katika maeneo hayo ya msiba.

Mmoja ya watangazaji wa Leo Tena amesema kuwa amewasiliana na mmoja ya wadau wake huko Mbeya na amemthibitishia kuwa kaburi limefukuliwa na jeneza limekutwa likiwa tupu halina kitu.

Inavyoonekana kuna uzembe katika kuandaa mwili na kuuweka katika jeneza, ingawa pia majirani na watu wanaoishi mazingira hayo wanahusisha na imani za kishirikina.

nilipohighlight sijaelewa, sasa kama alikuwa hai kwanini walienda na jeneza kaburini na mtoto wakamuacha nyumbani, aliyeelewa hizo sentensi hebu adadavue
 
Tukio hili halina upekee wowote ule! Kuna maswali mengi sana ambayo hayana majibu kuhusiana na mkasa mzima.Kubwa Ni kwa nini ndugu walikataa mwili usiagwe? Merehemu alikufa kwa ugonjwa gani hadi wanafamilia wasitake aagwe? Ukitizama kwa lakini utagundua kuwa kanisa hapo linacheza karata ya "nguvu ya ufufuo".
 
Wakazi wa eneo la Isanga katika jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa na mikasa, ushilawadu na matukio ya vioja, baada ya mtoto wa miaka 9 aliyekuwa amezikwa jana kwenye makaburi ya Isanga kukutwa akiwa kitandani kwake amelala usingizi mara baada ya kurejea kutoka makaburini.

Mara baada ya kufika nyumbani familia ikiwa inaingia ndani mwao, walipigwa na butwaa baada ya kukuta mtoto wao amelala kitandani kwake, na baada ya kuitana na kumwamsha mtoto huyo aliamka na kuonekana akishangaa hali aliyoiona pale nyumbani.
Kwa pamoja wananchi na wanafamilia walikubaliana asubuhi hii kwenda kufukua kaburi hilo ili waone nini kilichozikwa, na hivi dakika hizi zoezi hilo linaendelea na picha za makabuni hapo . MTAJUZWA KINACHOENDELEA

UPDATES KUTOKA ENEO LA TUKIO
KABURI LIMEFUKULIWA, HAKUNA KILICHOKUTWA NDANI YA KABURI YAANI MAITI ILIYOZIKWA JANA HAIMO!! POLISI WAMELAZIMIKA KUPIGA MABOMU ILI KUTAWANYA WATU PALE MAKABURINI BAADA YA KUANZA HALI YA SINTOFAHAMU JUU YA NINI KIMETOKEA?

View attachment 460851 View attachment 460855

======
UPDATES:

Kutoka katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm wamemuhoji Kamanda wa Polisi wa Jiji la Mbeya ambaye amatoa maelezo kuwa, ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa mwili wa mtoto huyo ulisahaulika kuwekwa katika sanduku na baada ya ibada mwili haukuagwa (Familia iliomba hivyo na ni kawaida).

Baada ya kuzika waliporudi nyumbani ndipo waliukuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umelala kitandani. Jeshi la Polisi liliimarisha ulinzi katika maeneo hayo ya msiba.

Mmoja ya watangazaji wa Leo Tena amesema kuwa amewasiliana na mmoja ya wadau wake huko Mbeya na amemthibitishia kuwa kaburi limefukuliwa na jeneza limekutwa likiwa tupu halina kitu.

Inavyoonekana kuna uzembe katika kuandaa mwili na kuuweka katika jeneza, ingawa pia majirani na watu wanaoishi mazingira hayo wanahusisha na imani za kishirikina.
Hivi Polisi wa Tz hawana njia nyingine ya kutatua jambo zaidi ya mabomu ya machozi?
 
Mtoto aliamka na kushangaa....then kuwe na uzembe wa kuweka mwili....so ina maana wameamini kuwa alikufa au nini? News contra mwishoni
 
Inamaana mwili wa marehemu uliagwa kama kawaida ya dini ya kikristo na watu walishuhudia sura ya marehemu kwa mara ya mwisho kabla ya kwenda kumzika?

Ila baada ya kufukua kaburi hapo ndio tutajua kama kweli marehemu alizikwa yeye au walifanya makosa wakamzika mtu mwingine.
Na huyo mtu mwingine walimpata wapi?
 
Mbona haya maelezo siyaelewi mara mtoto hakuwekwa kwenye jeneza Mara walipofukua jeneza lilikua halina mwli,wadau naombeni mnisaidie kunielewesha juu ya hii taarifa.
 
Back
Top Bottom