Mbeya-Mkoa unaolima kahawa lakini hawanywi kahawa

Hata viazi tunalima lakini wanaume wa dar ndio mnaongoza kwa kula chips wala sio sisi
 
Mbeya wanywaji pombe sio wengi ukilinganisha na ulikotoka.Kama ungetaka kahawa nenda Mbeya Hotel.
By the way Rungwe pia bado kahawa inalimwa naona Wandali mnavutia kwenu tu hata mbushirika,ngujubwaje,bhusokelo kote huku kahawa inalimwa japo sio kama zamani.
 
Mbeya inalimwa kahawa sana miaka ya nyuma baada ya kahawa kushuka bei soko la Dunia ndio wengi wakaamua kukata kahawa na kupanda vitu vingine,Mimi nimenunua kahawa Rungwe,Ileje na Mbozi tulikua tulikua tunapeleka kiwandani Mbozi kipindi hicho ndio niliipa heshima Land Rover 110 maana inapanda na kushuka mlimani na gunia 10 tena zisizokauka mpaka unapozikusanya na kuzipekeka kiwandani Mbozi kwa roli hakuna kijiji niliacha kupita huko Rungwe na Ileje...
Karibu tena tunaendekeza kulima kahawa kwa kisasa zaidi
 
Mbeya wanywaji pombe sio wengi ukilinganisha na ulikotoka.Kama ungetaka kahawa nenda Mbeya Hotel.
By the way Rungwe pia bado kahawa inalimwa naona Wandali mnavutia kwenu tu hata mbushirika,ngujubwaje,bhusokelo kote huku kahawa inalimwa japo sio kama zamani.
Aaaah gwa kaja

Sivutii kwetu ila kwa sasa kahawa upande wa rungwe imepungua sana kwa vijiji unavyo taja kuna watu wengi wamebaki na migomba tu na kahawa inajifia
 
Endelea kufanya utafiti ila watu wa huko sio wa kukaa vijiwe vya kahawa na kuzogoa au kupiga gumzo kama wanyamwezi wenzangu wa Tabora.

Mkuu, sitaki kuamini kama huu ni mkakati unaokuja baada ya ziara ya mzee na uchaguzi ujao, vijiwe vya kahawa vina taarifa nyingi sana.

Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya inalimwa kahawa sana miaka ya nyuma baada ya kahawa kushuka bei soko la Dunia ndio wengi wakaamua kukata kahawa na kupanda vitu vingine,Mimi nimenunua kahawa Rungwe,Ileje na Mbozi tulikua tulikua tunapeleka kiwandani Mbozi kipindi hicho ndio niliipa heshima Land Rover 110 maana inapanda na kushuka mlimani na gunia 10 tena zisizokauka mpaka unapozikusanya na kuzipekeka kiwandani Mbozi kwa roli hakuna kijiji niliacha kupita huko Rungwe na Ileje...
Kwakweli kahawa imeporomoka kwenye ulimaji nchini mwetu na sababu sijui ni nini. Kilimanjaro kahawa ilisomesha wazazi wetu zamani lakini sasa looo hamna, tukifanya mchezo hata korosho itapotea kabisaaa
 
Nipo Mbeya.
Nimeitafuta kahawa ya mtaani na hata coffee shop zijaona.
Nimedadisi mno na mwisho nimeambulia jibu la kuwa hapa ni "Pombe kwa kwenda mbele",hawana habari na kahawa.
Wajasiriamali watusaidie kutambulisha unywaji kahawa Mbeya.
Siyo Mbeya tu. Nadhani sehemu nyingi wanayolima kahawa Tanzania hawanywi! Hata Kilimanjaro sehemu wanazolima kahawa asubuhi ni watu wa chai tu.
 
Nipo Mbeya.
Nimeitafuta kahawa ya mtaani na hata coffee shop zijaona.
Nimedadisi mno na mwisho nimeambulia jibu la kuwa hapa ni "Pombe kwa kwenda mbele",hawana habari na kahawa.
Wajasiriamali watusaidie kutambulisha unywaji kahawa Mbeya.
Ww kahawa IPO nenda town karibu na Airtel jengo la kanji lalji kuna Cafe moja matata inaitwa Ridge cafe unapata kahawa ya kimataifa kaptichno na zingine
 
Back
Top Bottom