Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

Hakika nijambo la furaha, faraka na Amani ya moyo kwa famili, ndugu , jamaa na marafiki wengine wa Mdude Nyagali. Said Nyagali pole kwa Masaibu yaliyokupata, karibu tena tuendelee kupambana.
 
Heshima kwenu wakuu,

Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana. Hawezi kutembea wala kujipandisha kwenye bajaji. Utaratibu wa kupelekwa Hospitali apewe huduma ya kwanza unafanyika.

Mdude amepatikana katika Jimbo la Mbeya Vijijini kata ya Inyara Kijiji cha Makwenje kitongoji cha Mwasho.

Taarifa hizi za awali zimethibitishwa na Diwani wa CHADEMA mkoani humo, Kissman Mwangomale.

Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019, Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA, Mpaluka Said Nyagali (Mdude Chadema) alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu ambao hawakutambulika wenye Silaha za moto, akiwa ofisini kwake, eneo la Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe, katika tukio lenye dalili za utekaji.

Zaidi, soma;

Stay tuned
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Diwani kapigiwa simu na nani?hivi majeruhi akipatikana kijijini atasubiri gari au atabebwa na pikipiki au hata baskeli!!au wanakijiji watapiga simu polisi???
Hao wanakijiji walimtambuaje kuwa ni mdude?
 
Heshima kwenu wakuu,

Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana. Hawezi kutembea wala kujipandisha kwenye bajaji. Utaratibu wa kupelekwa Hospitali apewe huduma ya kwanza unafanyika.

Mdude amepatikana katika Jimbo la Mbeya Vijijini kata ya Inyara Kijiji cha Makwenje kitongoji cha Mwasho.

Taarifa hizi za awali zimethibitishwa na Diwani wa CHADEMA mkoani humo, Kissman Mwangomale.

Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019, Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA, Mpaluka Said Nyagali (Mdude Chadema) alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu ambao hawakutambulika wenye Silaha za moto, akiwa ofisini kwake, eneo la Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe, katika tukio lenye dalili za utekaji.

Zaidi, soma;

Stay tuned
Hii awamu ya meko na bashite inazid kujivua nguo
 
Wakuu ile barua ya ikulu ni genuine? Kama kweli mkulu ameamua kuunda tume ya kijaji basi makubwa tutayaona na kuyasikia.
 
Muda huu Mdude wa chadema kupatikana hasa baada ya ku- leak press release "fake" ya Ikulu ikisisitiza apatokane mara moja (japo imekanushwa na @ msigwa,je habari hizo zikoje?
 
Back
Top Bottom