Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

Isiwe alijiteka na kujiumiza mwenyewe!Kama alifanya kumuiga Nondo basi naye ajiandae kushitakiwa na jamhuri
hatari sana kujiteka ni balaa sio mchezo halafu ujipige usoni utune kama hamira kwa jinsi anavyoonekana hapo juu kwenye picha
 
1. Pole Mdude, ndugu, jamaa na marafiki zake
2. Siasa za kiharakati hazina nafasi kwa sasa, matusi, kejeli n.k
3. Wapo watu wapo kazini 24/7 kulinda hadhi ya bwana yule, jihadhari.
4. Najua hutoeleza kilichokusibu, ila ikikupendeza, utatuambia.
5. Ugua pole, huku uraiani mengi yamejiri. Manara kahamia Yanga, Gwajima ni muathirika, Mzee Mengi katutoka, Simba yupo kileleni na wewe umepatikana. Karibu sana.
 
Wacha ujinga wewe! Kama huna la maana la kuandika kaa kimya. Mtu atajiteka na kujipiga mwenyewe hadi akojoe damu na kujitia kilema!? Mxciuuuuuuuuuu
Unashangaa nini wakati mtu 'anajitolea mhanga' apigwe risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana hadi kukaribia kufa ili tu 'aichafue' serikali inayopendwa na watu ? Mambo mengine ni shida kueleweka lakini hawaachi kutulazimisha tuuamini uongo wao kwa kujaribu kuuficha ukweli usiofichika mchana. Mashetani dawa yake ni Jina la Yesu tu, ukienda hospitali au kwa mganga wa kienyeji unapoteza muda. Asomaye na afahamu. Saa ya wokpvu ni sasa.
 
Back
Top Bottom