Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.
Source: nipashe ya radio one stereo

Weka details ili habari iwe na mashiko. Husemi wamesababishaje hasara hiyo, wamewatiaje hatiani etc
Pombe sio chai wewe gamba. Sasa umepost nini?Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.
Source: nipashe ya radio one stereo
Washkaji zake slaa, hao,wapiga deal
Jamaa wamefoji hadi sahihi ya Mb J mbilinyi then wakachota fedha
ni mahakama pekee ndio yenye uwezo wa kumtia hatua mtu na siyo wanasiasa waliokaa kikao na kupiga kura kwa jili ya kumlinda meya fisadiBaraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.
Source: nipashe ya radio one stereo
Mayor anasema,madiwani wamegushi saini ili kuitisha kikao cha dharula hivyo wangesababisha hasara ya 10 milion. Source ni kipindi cha nipashe leoTunangoja kwa hamu sana kupata hiyo ,ili tujue walifanyaje huko mby.