Mbeya: Madiwani wa Upinzani watiwa hatiani kwa ufisadi

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.

Source: nipashe ya radio one stereo
 
Weka details ili habari iwe na mashiko. Husemi wamesababishaje hasara hiyo, wamewatiaje hatiani etc
 
Taifa stars vs. Harambee stars ni lini?
 
Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.

Source: nipashe ya radio one stereo

Mbeya hakuna hata diwani mmoja wa Nccr huu ni upotoshaji
 
Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.

Source: nipashe ya radio one stereo

inakuwajeua wao wachukuliwe hatua wakati wao ndio waliokuwa wanataka meya wa mbeya atoe mahesabu ya ziara yake china ambapo alitumia shs.milioni 90 bila kupitishwa na halmashauri ya mbeya. madiwani hawa wa chadema na nccr wakaungana kudai uhalali wa matumizi hayo makubwa ya fedha sasa leo hii wao tena ndio wachukuliwe hatua kwahiyo madiwani wa upinzani ndio watonvu wa nidhamu na madiwani wote waliobakia wa ccm ndio safi.

lakin naomba ieleke kuwa dhuluma haijwahi kushinda haki kwahiyo naamini madiwani hawa wanaopigania kodi za wananchi watashinda
 
Washkaji zake slaa, hao,wapiga deal
Jamaa wamefoji hadi sahihi ya Mb J mbilinyi then wakachota fedha
 
Weka details ili habari iwe na mashiko. Husemi wamesababishaje hasara hiyo, wamewatiaje hatiani etc

hili ni sakata la madiwani wa ccm kutaka kulinda ufisadi wa meya wao kutafuna milioni 90 za halmashauri kwa kuzua ziara ya kwenda china bila kupitishwa na kikao cha halmashauri . kwahiyo madiwani wa chadema waliposimama na kudai maelezo ya mahesabu ndio waundiwa azimio hili lakifisadi. wananchi wa mbeya watawasafisha madiwani wa ccm wakati ukifika kwani sasa wanajua ni nani anayepigania maslahi ya wananchi. who is really fighting for tax payers of mbeya municapal
 
Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.

Source: nipashe ya radio one stereo
Pombe sio chai wewe gamba. Sasa umepost nini?
 
Washkaji zake slaa, hao,wapiga deal
Jamaa wamefoji hadi sahihi ya Mb J mbilinyi then wakachota fedha

mbilinyi alishakanusha hilo. suala hapa ni ufisadi wa meya wa ccm aliyetafuna shs. milioni 90 ktk ziara yake ya china ambayo matumizi hayo hayakupitishwa na halmashauri kwahiyo anatumia azimio hili feki kama defensive mechanism ya kutaka kuwatisha madiwani hao ili wasiendelee na mikakati yao ya kudai haki za watu wa mbeya
 
Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.

Source: nipashe ya radio one stereo
ni mahakama pekee ndio yenye uwezo wa kumtia hatua mtu na siyo wanasiasa waliokaa kikao na kupiga kura kwa jili ya kumlinda meya fisadi
inakuwajeua wao wachukuliwe hatua wakati wao ndio waliokuwa wanataka meya wa mbeya atoe mahesabu ya ziara yake china ambapo alitumia shs.milioni 90 bila kupitishwa na halmashauri ya mbeya. madiwani hawa wa chadema na nccr wakaungana kudai uhalali wa matumizi hayo makubwa ya fedha sasa leo hii wao tena ndio wachukuliwe hatua kwahiyo madiwani wa upinzani ndio watonvu wa nidhamu na madiwani wote waliobakia wa ccm ndio safi.

lakin naomba ieleke kuwa dhuluma haijwahi kushinda haki kwahiyo naamini madiwani hawa wanaopigania kodi za wananchi watashinda
 
Hiki Chama kimerithi tabia ya Kichaga.
Watu wake ni wapiga dili wezi na wakwepa kodi.
Huwezi kuabudu jumba la shetani ukakosa kuwa na Maruhani.
 
Baraza madiwani katika halmashauri ya jiji la mbeya wamepitisha azimio la kuwachukulia hatua za kisheria madiwanibwote wa chadema na nccr mageuzi kwa kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.

Source: nipashe ya radio one stereo

hayo ni mambo ya siasa!, Wafadhili wanalalamika kuwa Pinda na Ghasia (tamisemi) wameiba pesa yao. ni zaidi ya bil600: sasa nyie mnaongelea ten milion! rubbish!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom