Siku hizi ndio wanaitwa UWATA ndio wanamiliki shule zote za UWATAMwakiswalele na kanisa lake la Uamsho walikuwa wanaonekana wanaabudu mashetani na walisadikika wanasali uchi usiku wa manane.
Walipewa jina la kebehi BHASISIMIKISI
Umoja, Azimio, Mbeya Day au wapi?Tina my school mate
Wana eneo kubwa sana Madale.Siku hizi ndio wanaitwa UWATA ndio wanamiliki shule zote za UWATA
Unakumbuka vizuri scandal ya Mwakiswalele?Siku hizi ndio wanaitwa UWATA ndio wanamiliki shule zote za UWATA
Nikipita ntatupia picha ya uwanja ngoma hapa.! Unaweza toa machozi jinsi palivyo choka.! Njia ya kwenda chunya ni lami mpaka chunya mjini.naskia ile barabara ya kutoka Rift valley kwenda chunya ina lami, na lile soko la Isanga limefutwa,hv uwanja ngoma upo bado?
Wale wa head master Mwangoka.. na second master msava chini ya discpline teacher simwaba. Meta secoNyie wa kwa Lena mlipewa baiskeli muifunge Meta umiseta
Mfike hakuwa tishio, tishio alikuwa Ngwisa. Huyu alikuwa ni mbabe na Jambazi sugu. Kisha wahi kufungwa mara nyingi na baadae alizamia meli na kwenda nje.Nenda sokomatola mtaa wa kanisa enzi hizo utakutana na Mfike mabugilo "Tyson" mr Tanzania wa kwanza..! Ng'ombe za Mwamtobe!
Baadae wakaja vijana wa uswahilini Matola na "kosa la marehemu hakuvaa kondomu" !! Daah ahsante mtoa post ama kweli Mbeya imelea wengi naamini vijana wa Irambo wako humu plus Joseph kabila.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Michael Simwaba alikuwa ana kiingereza kizuri kuliko mwalimu yeyote yule Mbeya. Fimbo zake zilikuwa kali sana hasa akikuchapa na mfyulisi. Simwaba kwao ni Majengo.Wale wa head master Mwangoka.. na second master msava chini ya discpline teacher simwaba. Meta seco
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Weweee bujibuji ni nani wewee mbona mule mulee daah!Michael Simwaba alikuwa ana kiingereza kizuri kuliko mwalimu yeyote yule Mbeya. Fimbo zake zilikuwa kali sana hasa akikuchapa na mfyulisi. Simwaba kwao ni Majengo.
Mnzava alikuwa na binti yake akiitwa Penieli na walikuwa wakikaa kwenye vikota vya Meta shuleni.
Mnzava alikuwa mwalimu mzuri sana wa chemistry.
Unoko wake ulimfanya awe maarufu Mby nzima
lol nilijifunzia pale kuvuta n thanks God nilishindwa kuendelea kuvuta nikaachaPale Sangu Sekondari ...kwenye miti kulikuwa na kichaka kinaitwa kaburi la Bob Marley watu wamekula sana ganja pale....lkn leo hii baadhi yao ni watu wakubwa sana hapa chini ya jua......
Alisoma Malawi.Maisha aliyo nayo sasa utamuonea huruma.Michael Simwaba alikuwa ana kiingereza kizuri kuliko mwalimu yeyote yule Mbeya. Fimbo zake zilikuwa kali sana hasa akikuchapa na mfyulisi. Simwaba kwao ni Majengo.
Mnzava alikuwa na binti yake akiitwa Penieli na walikuwa wakikaa kwenye vikota vya Meta shuleni.
Mnzava alikuwa mwalimu mzuri sana wa chemistry.
Unoko wake ulimfanya awe maarufu Mby nzima
Vip kuhusu pailot.. ! Mtoto wa mzee mwamtobe pale jirani mtaa wa kanisagetrusa, siku mzee Mwamtobe alipokuwa akifariki, ng'ombe wake walipiga kelele usiku kucha. Mzee Mwamtobe alikuwa na hitilafu kidogo ya akili na alifia hospitali ya Rufaa, enzi hizo ikiitwa Grade One
Long time kichizi. Henry tulimwita HenuleVip kuhusu pailot.. ! Mtoto wa mzee mwamtobe pale jirani mtaa wa kanisa
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Very sadAlisoma Malawi.Maisha aliyo nayo sasa utamuonea huruma.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
HahahaaaLong time kichizi. Henry tulimwita Henule
Nimekuwepo jf kwa muda mrefu sana, nimetengeza marafiki ambao sasa ni zaidi ya ndugu. Tunatembeleana na kujaliana kwenye shida na raha.Kikubwa tupeane staha tu kwa uzi huu wa mbeya nilichogundua watu wengi tunafahamiana ila haya majina mficho yanaleta shida.. hivyo hata kwenye nyuzi nyingine staha lazima. Heshima kwako Bujibuji.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Neema dada yake na Vera aliolewa na waziri wa kitu gani sijui zambia mambo yake yalikuwa safiiDuh, Mkuu ww ni balaa. Hii story ni ya kweli kabisa, Vera, dada zake na mama yao walikuwa km machangu fulani hivi. Na hali Ilikuwa mbaya zaidi baba yao mzee George alipokuwa jela pale gereza la Luanda. Sijui wapo wapi siku hizi?