Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
asante sana mkuuWapi kama mby karibu mby bro
anaishi Sae siku hiziYuko wapi?
Mbeya Technical college saivi inaitwa mbeya university of science and technology.Samahan mkuu mTC ndo nn
Niliishi jirani na familia ya Mapugilo pale kiwanja mpaka. True kabisa walikiwa watata hawa ndugu sio michezo. Ila Ibu alifariki ktk tukio la ujambazi nje ya Mbeya.
Tabata mawenzi ila unashukia kituo kinaitwa chama. Sijawahi kwenda but ndo hivyo nilivyoambiwaHuyo ntepa kanisa lake liko wapi?
Huo uwanja wa ndani hautumiki tena, ni lecture hall kwa sasa, ila magoli na miundombinu mingine bado ipo. Panaitwa sport hallmbeya technical college,chuo kilikuwa kule iyunga kiwanda cha koka kwa juu,jamaa walikuwa wakali sana wa basketball..walikuwa wana uwanja wa mbao wa ndani-indoor marble court
Forest nje ya fensi ya mecco amekula sana ugali homeEnzi hizo onko jamaa huyu alikuwa anajichoma pua alikuwa anakaa maeneo ya opposite na kwa ndiyo unakumbuka?
Hapana kwa sasa ni Trans Highway transport limitedNdio hii bhqnji logistic ya sasa?
Siku hizi pale jirani na sisimba ni bank ya BaclaysHuyo Bhanji ni mchumba tu, logistics company ya zamani ni Kanji Lalji Ltd wako pale jirani na Sisimba na pia wana yard yao kubwa Sinde jirani na Idara ya maji
Jombi aliadabishwa na Mzee Mkapa,akajua kuwa kuna serikali.Mbeya ya kinajombi
Duh, Mkuu ww ni balaa. Hii story ni ya kweli kabisa, Vera, dada zake na mama yao walikuwa km machangu fulani hivi. Na hali Ilikuwa mbaya zaidi baba yao mzee George alipokuwa jela pale gereza la Luanda. Sijui wapo wapi siku hizi?Kulikuwa na mlokole mmoja ana mgahawa alikuwa anaitwa Mtemi, akamuaga mkewe kuwa anaenda kuhubiri vijijini. Akakutwa Lupa Way guest house kafa na kondom yake. Ilikuwa inasemekana alikuwa amelala na Vera wa George wa Soko-Matola mtaa wa Tanu
Duh, cjamsoma fresh Mkuu. Nikumbushe. Haaaaaaa!View attachment 537743
Kwa hiyo, huyo wa pili kutoka kushoto waliosimama unamfahamu?
Wako LusakaDuh, Mkuu ww ni balaa. Hii story ni ya kweli kabisa, Vera, dada zake na mama yao walikuwa km machangu fulani hivi. Na hali Ilikuwa mbaya zaidi baba yao mzee George alipokuwa jela pale gereza la Luanda. Sijui wapo wapi siku hizi?
Kwa hiyo kina Kachinga Mpakasi, Elewa, Bright, na watoto wa Mwamtobe Henry (Henule) Dereva wa mabasi ya kwenda DSM unawajua piaNiliishi jirani na familia ya Mapugilo pale kiwanja mpaka. True kabisa walikiwa watata hawa ndugu sio michezo. Ila Ibu alifariki ktk tukio la ujambazi nje ya Mbeya.
Huyo wa kwanza kushoto, ni Slyvester maarufu sana wakati ule, kwa jina la SERENGE . Wa pili ni jirani yako Emmanuel Mapugilo!!Duh, cjamsoma fresh Mkuu. Nikumbushe. Haaaaaaa!
Daaaah! Mkuu, una kitabu cha kumbu kumbu ya Mbeya? Sina shaka unamkumbuka sa PILOT, alikuwa anafanya kazi Enterprise Cinema!Kwa hiyo kina Kachinga Mpakasi, Elewa, Bright, na watoto wa Mwamtobe Henry (Henule) Dereva wa mabasi ya kwenda DSM unawajua pia
RTC Club jirani na Coffee Bar, Warsame Restaurant na Ustawi wa JamiiMagorofani kwenye Video kwa Mama Tamasha bila kupasahau RTC Club tulikuwa tunatizama recorded World Cup Mexico