Mbeya long time kitambo

Mkuu karibu sana jijini mbeya imebadirika
 
ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba
Mzee alikuwa kituko sana,ukienda kuomba usajiliwe katika timu yake ukisema unacheza namba tisa biashara imekukata.
 
Ally ni dereva wa mabasi ya mikoani maarufu kama "mwansyu"
 
Kawaida Auto garage walipendezesha sana Mei Mosi kwa magari yao ya ajabu
 
Mh...peter kihaka
 
Hivi yule msanii DDG yupo kweli sikuhiz, alikua anachana enzi hizooo miaka ya 2000
 
Hivi pale town uhindini naskia soko liliungua sijui watu wakahama? Is it true
 
Samahan mkuu mTC ndo nn
mbeya technical college,chuo kilikuwa kule iyunga kiwanda cha koka kwa juu,jamaa walikuwa wakali sana wa basketball..walikuwa wana uwanja wa mbao wa ndani-indoor marble court
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…