Mbeya kwanza FC special thread

Iringa tatizo ni uongozi pale awana umoja chama cha mpira mkoa kimegawanyika kila kiongozi ana timu yake
Duu, hayo ndi majanga tunayostahili kuyaangamiza kabisa katika medani ya michezo! Wanataka wanataka kufanana na wenzao wa kule Rukwa nao wlikuwa na misuguano kama hiyo lakini tangu walipoewa Tanzania Prisons wamestaraika, Nakumbuka tulipokwenda na Simba mwaka 2019, Eti kuna watu wakataka kuzuia Simba isicheze pale Sumbawanga wakidai eti walioialika timu hawakufuata utaratibu , jamai ilishangaa mno ushamba ule!
 
FB_IMG_16332798978976403.jpg
 
Timu nyingi sina shindwa kwa sababu ya uongozi
 
HV mbon mnapenda ubinasfs et mbeya Kwanza ndio kitu gani hicho? mmekoza jina lingine mpka mlete umbeya Kwanza ...ngoja waje mzimu Ni mmoja tu watapoteana wote
Wewe unateseka na nini sasa? Tunatangaza mkoa wetu si mmetutenga nyie hasa awamu ya Jiwe?

Ni ajabu na aibu kwa TFF na Serikali kushindwa kujenga kiwanja hata kimoja chenye hadhi ya kimataifa Mkoani Mbeya.

Mbeya hii ni kitovu cha vipaji vya wanasoka na michezo mingine.Pia tuko mpakani ambapo ni rahisi kiwanja kutumiwa hata na nchi jirani .

TFF wanajenga sports academy sehemu kama Singida na Geita wakiacha Mbeya yenye mchango mkubwa,huu ni wivu.

Majuzi eti Walace Karia anasema watajenga uwanja wa mabilioni Moshi uwanja wa sabasaba na kuutia nyasi bandia,wachaga na soka wapi na wapi?

Kwa kweli Wana Mbeya tukomae wenyewe maana hakuna anayejali,Mbeya licha ya umuhimu wa kimichezo ni Mkoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza lakini bado Serikali haioni mchango wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom