Mbeya kwanza FC special thread

Sawa lakini ukiangalia timu hii inavyocheza kuna kitu kikubwa inaweza fanya msimu huu
timu nyingi zinashundwa kwa kuwa na matarajio yasio na uhalisia. wewe kama timu yako imepanda daraja malengo yako kwa misimu mitatu ya kwanza ni kubaki kwenye ligi kuu. hapo hutapata presha za kijinga.
 
Navyoona mimi tatizo lipo kwenye uongozi timu ikianza kupata pesa tu mara nyingi timu izi zinaanza kufanya vibaya ila kama timu ikiwa na uongozi imara iwezi kushuka daraja
 
ndio utashangaa ata hizo 40m za azam bado utasikia kuwa wachezji hawajalipwa.
 
Mtibwa sugar vs Mbeya kwanza fc mechi inachezwa saa 8 mchana katika uwanja wa mabatini pwani leo tarehe 27/9/2021
 
255627912663_status_f6deb37cb4b847e7ad085be8956c945e.jpg
 
Mtibwa sugar FT 0 -1 Mbeya kwanza fc mfungaji william huyu ni mfungaji magoli mengi katika hatua ya daraja la kwanza
 
1. Uongozi usije ukaruhusu au kuanzisha majungu na fitina.
2. Matumizi mabaya ya fedha hasa kutia kibindoni posho za wachezaji.
3. Kocha asibague wachezaji.
4 Mambo ya utaalamu liachiwe bench la ufundi.
5. Mashabiki wahamasishane kujitokeza kwa wingi uwanjani kuwazidi hata mashabiki wa Simba na yanga.

Kwa leo ni hayo tu.
 
Ndio mkuu tunaitaji viongozi imara ili timu yetu iendelee kufanya vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom