Kwa nini hili zoezi lifanyike kwenye mwaka wa uchaguzi? Hii isije ikawa ni mbinu ya kutia raia hofu
Raia wanapataje hofu mkuu.ninavyojua kipindi kuelekea uchaguzi huwa kuna pilipilika nyingi na ndo mana kipindi hicho mpaka rais mpya anapoapishwa matukio mengi kama vile ujambazi huwa yanatokea kwa wingi najua hapo jeshi letu linajiweka sawa pia kwa kushirikiana na polisi ili mambo yaende sawa
Kwa nini hili zoezi lifanyike kwenye mwaka wa uchaguzi? Hii isije ikawa ni mbinu ya kutia raia hofu
kama jwtz wanakagua ugaidi na ujambazi bac polisi waende wakalinde mipaka ya nchi
Kutisha tu wananchi, kwa nini wasifanye 2012 huko wanakuja kufanya leo karibu na uchaguzi
kama jwtz wanakagua ugaidi na ujambazi bac polisi waende wakalinde mipaka ya nchi
kama jwtz wanakagua ugaidi na ujambazi bac polisi waende wakalinde mipaka ya nchi
Jamaa wana biti, hadi kuna wengine wamepaka camouflage usoni.Kwa nini hili zoezi lifanyike kwenye mwaka wa uchaguzi? Hii isije ikawa ni mbinu ya kutia raia hofu
Kutisha tu wananchi, kwa nini wasifanye 2012 huko wanakuja kufanya leo karibu na uchaguzi
Kipindi hiki cha uchaguzi ndio sahihi kufanya kaguzi. Nyie wahamiaji ndio MNA wasiwasi.