johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,140
Mbona Dodoma haijawa nambari one?Kwa vile hakuna kiongozi wa upinzani huko labda mwakani mbeya itakua nambari wani.
Ndio watoto wanaacha kwenda shule kusoma wanawaza uanaharakati na maandamanoKwahiyo Mbeya mmefeli kwa sababu ya Chadema?!
Lakini meya alikuwa wa CCM!Ndio watoto wanaacha kwenda shule kusoma wanawaza uanaharakati na maandamano
Dodoma sababu wapinzani nchi nzima walikua wanakutania pale.Mbona Dodoma haijawa nambari one?
Bwege huyu jamaaNimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya darasa la saba.
Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani.
Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani meya kua CCM kulimzuia Sugu kueneza ujinga wake kwa watoto?Lakini meya alikuwa wa CCM!
Kwahiyo watoto wote wanamsikiliza Sugu!Kwani meya kua CCM kulimzuia Sugu kueneza ujinga wake kwa watoto?
Rejea ile picha ya mtoto juu ya mti iliyoenea mitandaoni kipindi cha kampeni.
Wapinzani walituchelewesha sana!
Kwahiyo watoto wote wanamsikiliza Sugu!
Ndio sasahivi wanamsikiliza Tulia wewe subiri mwakani mbeya ndani ya top ten!Kwahiyo watoto wote wanamsikiliza Sugu!
😂😂😂😂utasababisha huyo mwehu akawatandike viboko walimu wa taaluma.
Introvert!Bwege huyu jamaa
Mbona Dodoma haijawa nambari one?