Mbeya haimo kwenye 10 bora matokeo Darasa la Saba. RC Chalamila (Mwalimu), unafeli wapi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,562
Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya Darasa la Saba.

Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani.

Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa vile hakuna kiongozi wa upinzani huko labda mwakani Mbeya itakuwa nambari wani.
 
Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya darasa la saba.

Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani.

Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa.

Maendeleo hayana vyama!
Bwege huyu jamaa
 
Kwani meya kua CCM kulimzuia Sugu kueneza ujinga wake kwa watoto?
Rejea ile picha ya mtoto juu ya mti iliyoenea mitandaoni kipindi cha kampeni.
Wapinzani walituchelewesha sana!
Kwahiyo watoto wote wanamsikiliza Sugu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom