Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

mpira ni mapumziko,matokeo bado ni bilabila,timu zote zinaonekana kushambuliana kwa zamu
 
mbeya city wanarejea uwanjani tayari kwa kipindi cha lala salama
 
prison nao washarejea uwanjani,muda mfupi ujao kipindi cha pili kitaanza
 
prison nao washarejea uwanjani,muda mfupi ujao kipindi cha pili kitaanza hapa
 
MCC wanakosa goli hapa,mchezaji wa mCC anashika na faulo inapigwa kuelekea lango la MCC
 
MCC wanakosa goli hapa,mchezaji wa mCC anashika na faulo inapigwa kuelekea lango la MCC.
 
faulo inapigwa kelekea lango la Prison baada ya mcezaji wa MCC kuchezewa faulo,mpira unaokolewa
 
Back
Top Bottom