Prison team piga hao Mbeya city wakauze mitumba Mwanjelwa
kona kuelekea lango la prison
kona kuelekea lango la prison
Hali ya mchezo ipoje?
faulo inapigwa kueleka prison,sio mbali na goli,mpira umeokolewa
wajelajela wanashambuliwa mno!
jezi za mbeya city znatafutwa dar hazpatkan.kwanin hawataki kuleta jezi dar
Kweli ndugu wawili wakitwangana makonde...wengine tubebe majembe tukalime
kiingilio kilikuwa elfu 3 na watu walijaa sana uwanjani so nategemeaa mapato yatakuwa mazuri