Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

Prison leo lazima wawatie korokoroni hao watoza ushuru wa mjini Mbeya.
 
Mbona kimya tena?? no updates na hata matokeo kidogo hakuna!!
 
kadi ya kwanza ya njano inakwenda kwa Prison
 
Hao ndo prison jama,mbwa ukimjua jina hakusumbui kabisa...Mbeya city nawakubali ila kazi mnayo.
 
shambulzi la nguvu hapa langoni mwa Prison lkn mpira unaokolewa
 
kadi ya pilki ya njano inakwenda kwa Prison
 
Goooooal prison wanapata bao la kwanza, dakika 40. Mfungaji alex mgumila
 
We mwali mbona unatuchanganya kwa hiyo Prisons washashinda 2 sio?
 
Back
Top Bottom