Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 Oct 29, 2013 Thread starter #141 kandukamo1 said: Ubarikiwe sana Mkuu. Updates ulizotoa as if watu tulikuwepo sokoine. Mungu ibariki MCC, Mungu ubariki mkoa wa Mbeya. Click to expand... nashukuru sana mkuu,tuendelee kuiombea Mbeya City yetu izidi kufanya vizuri
kandukamo1 said: Ubarikiwe sana Mkuu. Updates ulizotoa as if watu tulikuwepo sokoine. Mungu ibariki MCC, Mungu ubariki mkoa wa Mbeya. Click to expand... nashukuru sana mkuu,tuendelee kuiombea Mbeya City yetu izidi kufanya vizuri
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,872 Reaction score 4,604 Oct 29, 2013 #142 kandukamo1 said: Ubarikiwe sana Mkuu. Updates ulizotoa as if watu tulikuwepo sokoine. Mungu ibariki MCC, Mungu ubariki mkoa wa Mbeya. Click to expand... wote na tuseme, AMEN!
kandukamo1 said: Ubarikiwe sana Mkuu. Updates ulizotoa as if watu tulikuwepo sokoine. Mungu ibariki MCC, Mungu ubariki mkoa wa Mbeya. Click to expand... wote na tuseme, AMEN!
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Oct 29, 2013 #143 Nasikitika sana kikosekanika uwanjani leo, roho imeniuma kutoenda shangilia afya imesumbua kidogo
Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 Oct 29, 2013 Thread starter #144 ndomyana said: Nasikitika sana kikosekanika uwanjani leo, roho imeniuma kutoenda shangilia afya imesumbua kidogo Click to expand... pole sana mkuu,vijana wamefanya yale ambayo wanambeya waliyatarajia,get well soon
ndomyana said: Nasikitika sana kikosekanika uwanjani leo, roho imeniuma kutoenda shangilia afya imesumbua kidogo Click to expand... pole sana mkuu,vijana wamefanya yale ambayo wanambeya waliyatarajia,get well soon
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Oct 30, 2013 #145 mbona wanafanya mambo ya kijinga hawa mashabiki wa mbeya city bana..
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Oct 30, 2013 #146 Asante sana mkuu tutaungana pamoja mechi ijayo Nakapanya said: pole sana mkuu,vijana wamefanya yale ambayo wanambeya waliyatarajia,get well soon Click to expand...
Asante sana mkuu tutaungana pamoja mechi ijayo Nakapanya said: pole sana mkuu,vijana wamefanya yale ambayo wanambeya waliyatarajia,get well soon Click to expand...