Mbeya: Baada ya mgomo wa daladala kutolipa ushuru, hatimaye Stendi ya Nanenane yaanza kurekebishwa

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
866
Reaction score
805
Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo.

Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara.

Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya marekebisho Kwenye maeneo ambayo yanawaingizia kipato siyo mpaka watu wagome kutoa ushuru

Soma Pia: KERO - Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane - Mbeya ina mashimo, mamlaka zisisubiri mgomo

DSC_0876.JPG
DSC_0873.JPG
 
Wanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.

Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1

Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
 
Duuuuh
 
watu wake wanaukwamishane?
 
Mbona kariakoo machinga kibao na barabara zinajengwa?,watu wanalipa kodi ,barabari mbovu? Haya wana kwamishaje?,si Kuna mbunge wao kwamba haoni? Au unataka wajenge wananchi na kodi wanalipa?
 
Bila ubishi wenu ambao dawa yake ni mabomu ya machozi na maji ya pilipili Mbeya ingekuwa kama Switzerland
 
Bila mgomo hiyo halmashauri isingefanya chochote ingeendelea kusinzia
Hiyo mbeya ilikuwa na kitu kinaitwa Mbeya Urban Renewal Plan ambayo ilikuwa na lengo la kuboresha makazi duni, kujenga vituo vikubwa vya biashara, kuweka zone za mahoteli na kuboresha bara bara Mtihani ni kuwa hamko tayari kutoka maeneo ambayo ndio muhimu kwa ajili ya Urbanization sasa sijui mnafurahia mji kuwa na hali hiyo au laa, Tuambieni wanyakyusa
 
😃😃🤔 Uka summarize kabisa kuwa Mimi ni mnyakyusa
 
Hiyo mbeya ilikuwa na kitu kinaitwa Mbeya Urban Renewal Plan ambayo ilikuwa na lengo la kuboresha makazi duni, kujenga vituo vikubwa vya biashara, kuweka zone za mahoteli na kuboresha bara bara Mtihani ni kuwa hamko tayari kutoka maeneo ambayo ndio muhimu kwa ajili ya Urbanization sasa sijui mnafurahia mji kuwa na hali hiyo au laa, Tuambieni wanyakyusa
Hahahahahaga
 
Mbeya wakikuambia MMA MMA maana yake ni MMA hawasogei hawakai hawasimami
 
Wanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.

Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1

Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
Hakuna mtu anyekwamisha mji hata siku Moja maana watu wanataka maendeleo na miundombinu mizuri..... serikali ndiyo ya kulaumiwa hapo mm siyo mkazi wa mbeya ila matatizo ya nchii hii ynafanana kila sehemu wakulaumiwa ni serikali tu
 
Wanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.

Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1

Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
Arusha ipi iko vizuri kwenye stand ya dala dala hii ya Kilombero ambayo mvua ikinyesha hakuna dala dala inaingia kubeba abiria ndani au umetoa mfano tu kuwa Arusha ipo bomba wakati yapo maeneo sio salama kwa binadamu tena mjini kabisaa..
 
Bila ubishi wenu ambao dawa yake ni mabomu ya machozi na maji ya pilipili Mbeya ingekuwa kama Switzerland
Kuna sehemu unafeli sana,hebu thibitisha ninubishi gani? Na unahusiana nini na wajibu wa viongozi ktk kutekeleza majukumu yao.

Hivi mimi nilipe kodi halafu mazingira yakufanyia kazi ambayo huinhiza hiyo kodi ni mabovu like serious,barabara za mbeya na hata hiyo stand ya NaneNane ilijengwa kipindi halmashauri ipo chininya upinzani tangia hapo nothing.

Kwamba kama kwenu Kuna mbumbumbu wa haki zao basi kila sehemu ni mbumbumbu sio?, no wajibu wa serikali kuboresha miundombinu sio ombi,stand ya Nane nane inaingiza napato almost 30%
 
Back
Top Bottom