Mbele ya mtumishi wa mungu!!!!!!!!!!!!!

Mbele ya mtumishi wa mungu!!!!!!!!!!!!!

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,480
Reaction score
946
Mbele ya mtumishi wa Mungu mume bila woga akafungua zipu na kuitoa......! Kisha akaanza kuiingiza taratibu huku wa2 wakiwa hawaamini..! Akaendelea mpaka ikaingia yote na kukaza vizuri kwa mkewe. Wa2 wakashangaa kwa nderemo na vifijo, wakashangilia vile ilivyokua inaingia yote ile "PETE".
 
jitathmini mwenyewe,inakera badala ya lengo la hapa,
anayeshangaa hawezi kushangilia! mwepesi sana ww
 
Duuuuuuuuu!!!!!!!!!! ndo nilifikiri mambo hadharani
 
Du jifunzeni kusoma/kusikiliza maelezo mpaka mwisho mdio ndio mtoe maamuzi vinginevo? na kiswahili chenyewe cha bongo mmmmmmm sijui???
 
Back
Top Bottom