Mbegu za kiafrika Vz Mbegu za kizungu

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Nimefanya utafiti kwa watu na sehemu mbalimbali mwafrika au ngozi nyeusi akizaa na mzungu/ngoz nyeupe anazaliwa mtoto mweusi au mweupe lakini ngozi yake itabase sana kiarifca.

ikiwa mwanaume ni black akizaa na mzungu mwanamke = anatoka mtoto black
ikiwa mwanamke ni balak akizaa na mzungu mwanaume = anatoka mtoto black

katika hayo mawili sijakutana na mchanganyiko wa mzungu na mwafrika weusi akatokea mtoto mzungu inamaana kibiologia mbegu za ngozi nyeusi zina nguvu sana au damu ya kizungu ikikutana na ya black inamezwa!

wale wataalam watatujuza zaidi
 
hakuna kitu kama hicho ila ni watu weupe kwa ubaguzi wao wamewakataa watoto waliozaliwa kutoka kwa ndugu zao weupe waliooana na weusi na kuwaita watoto wote wanaozaliwa kwenye kizazi chao blacks while in a real sense they are more white/colored than being black.
 
Correct mkuu, Hivi ukimcheck Obama, kiukweli is he white/colored au Black kama steven wassira au Pinda?
 
na ndio maana baada ya kubaguliwa na kuwekwa kwenye race ambayo wazungu wanaiona ni race ya chini sana hawa machotara wameamua kuanzisha utambulisho wao kwa vile na wao wanajiona wako juu ya weusi hivyo wameingia kwenye mtego wa ubaguzi.
 
Correct mkuu, Hivi ukimcheck Obama, kiukweli is he white/colored au Black kama steven wassira au Pinda?

sikatai machojaribu kueleza hapa hapa ni kwanini wakikutana black na mzungu wasitoe mtoto wa kizungu? mfano Mary Chitanda akizaa na Bushi asitokee mtoto mzungu kama bushi? lakini mtu kama Wasira akizaa na Queen Elizabeth anatokea mtoto black kama obama au pinda
 
Huo utafiti wako ni wa kizushi!Nna rafiki yangu mwenye mchanganyiko na ni mzungu zaidi mpaka hatambuliki haraka kwamba ana weusi mpaka amwambie mtu!Mwenyewe anapenda kuonekana/kutambulika kama mweusi ila watu hawauoni weusi wake!Na huo ni mfano mmoja tu..kuna mshkaji mwingine ukimwona hata huwezi kufikiria ni mchanganyiko!
 
Sasa nini maana ya kuchanganya damu? Mweusi na mweupe wakioana wanazaa mtoto aliye katikati kwa rangi: ni mweusi na mweupe (nusu-nusu). Huwezi kumpata mweusi kamili (TU) au mweupe kamili (TU). Kwa hiyo kusema kwamba watoto wa wazazi mweusi na mzungu mtoto anazaliwa mweusi si kweli. Anazaliwa mchanganyiko (chotara). Lakini watoto wa aina hiyo wazungu hawawapokei kama wazungu bali kwa sababu ya ubaguzi wao wanawaweka kwenye kundi la weusi. Sisi weusi hatuna ubaguzi, tunawakubali kwamba ni weusi japo wako nusu weusi na nusu wazungu.
 
tatizo utafiti wako upo kihisia zaidi na sio kisayansi. Hao watoto ni machotara, basi hakuna zaidi. usituambie umesahau bilojia mapema hivi
 
nshawahi kukutana na Molato wa Kigambia duuu nilidhani adoptera ila baadae sana nikagundua mamake alikuwa mzungu na yule mama hakurudia tena kuongeza mwingine maana ni balaa:rain:
 
tatizo utafiti wako upo kihisia zaidi na sio kisayansi. Hao watoto ni machotara, basi hakuna zaidi. usituambie umesahau bilojia mapema hivi

we ndio unawaona hivyo ila wenyewe wanawaona weusi zaidi na wanabaguliwa ile mbaya,mi mpaka nilipeleka uswahili wangu wa magomeni shuleni ikasaidia sana maana wanajua ukigusa mamake ni zaidi ya Osama :rain:
 
Huo utafiti wako ni wa kizushi!Nna rafiki yangu mwenye mchanganyiko na ni mzungu zaidi mpaka hatambuliki haraka kwamba ana weusi mpaka amwambie mtu!Mwenyewe anapenda kuonekana/kutambulika kama mweusi ila watu hawauoni weusi wake!Na huo ni mfano mmoja tu..kuna mshkaji mwingine ukimwona hata huwezi kufikiria ni mchanganyiko!

siyo kihisia nina evidence hasa wanawake wamezaa na wazungu wametoa watoto full black na hakuna rangi ya uchotara
 
Kali_Ongala_.jpg Kali Ongala huyu mama yake ni mzungu baba yake full black bt kidogo kuna kauchotara
 
Nimefanya utafiti kwa watu na sehemu mbalimbali mwafrika au ngozi nyeusi akizaa na mzungu/ngoz nyeupe anazaliwa mtoto mweusi au mweupe lakini ngozi yake itabase sana kiarifca.

ikiwa mwanaume ni black akizaa na mzungu mwanamke = anatoka mtoto black
ikiwa mwanamke ni balak akizaa na mzungu mwanaume = anatoka mtoto black

katika hayo mawili sijakutana na mchanganyiko wa mzungu na mwafrika weusi akatokea mtoto mzungu inamaana kibiologia mbegu za ngozi nyeusi zina nguvu sana au damu ya kizungu ikikutana na ya black inamezwa!

wale wataalam watatujuza zaidi

huku kwnw hizi engo ndo tunaweza kuwatambia wazungu! hko kwingine mh!
 
navyojua mimi mweusi akizaa na rang nyeupe mtoto akitoka black au chotara ni bahati watu wote nao wajua mie wakazaa na weusi mtoto anatoka mdhungu muangalie dwighty york na jordan, kibongo bongo kuna majjid mjengwa na wanawe umeona naomba ukasome upya huo utafit wako
 
Nimefanya utafiti kwa watu na sehemu mbalimbali mwafrika au ngozi nyeusi akizaa na mzungu/ngoz nyeupe anazaliwa mtoto mweusi au mweupe lakini ngozi yake itabase sana kiarifca.

ikiwa mwanaume ni black akizaa na mzungu mwanamke = anatoka mtoto black
ikiwa mwanamke ni balak akizaa na mzungu mwanaume = anatoka mtoto black

katika hayo mawili sijakutana na mchanganyiko wa mzungu na mwafrika weusi akatokea mtoto mzungu inamaana kibiologia mbegu za ngozi nyeusi zina nguvu sana au damu ya kizungu ikikutana na ya black inamezwa!

wale wataalam watatujuza zaidi

Unaweza twambia sampuli yako ilipatikanaje na ilihusisha watu wangapi?
 
Back
Top Bottom