Ngoja tukazae tuone.
Ila mimi wapo nawafahamu ni waupe pyee!
Nimefanya utafiti kwa watu na sehemu mbalimbali mwafrika au ngozi nyeusi akizaa na mzungu/ngoz nyeupe anazaliwa mtoto mweusi au mweupe lakini ngozi yake itabase sana kiarifca.
ikiwa mwanaume ni black akizaa na mzungu mwanamke = anatoka mtoto black
ikiwa mwanamke ni balak akizaa na mzungu mwanaume = anatoka mtoto black
katika hayo mawili sijakutana na mchanganyiko wa mzungu na mwafrika weusi akatokea mtoto mzungu inamaana kibiologia mbegu za ngozi nyeusi zina nguvu sana au damu ya kizungu ikikutana na ya black inamezwa!
wale wataalam watatujuza zaidi
inategemea kama Mary Chitanda ni mzungu au mwafricasikatai machojaribu kueleza hapa hapa ni kwanini wakikutana black na mzungu wasitoe mtoto wa kizungu? mfano Mary Chitanda akizaa na Bushi asitokee mtoto mzungu kama bushi? lakini mtu kama Wasira akizaa na Queen Elizabeth anatokea mtoto black kama obama au pinda
ikiwa mwanaume ni black akizaa na mwanamke black = anatoka mtoto Mzungu
sasa nenda hapa
Docs to study black couple’s white baby | The Sun |News
Halafu malizia conclusions za study yako!!!
hapo ngoja nimuulize Sophia Simba asibitishe
Huo utafiti wako ni wa kizushi!Nna rafiki yangu mwenye mchanganyiko na ni mzungu zaidi mpaka hatambuliki haraka kwamba ana weusi mpaka amwambie mtu!Mwenyewe anapenda kuonekana/kutambulika kama mweusi ila watu hawauoni weusi wake!Na huo ni mfano mmoja tu..kuna mshkaji mwingine ukimwona hata huwezi kufikiria ni mchanganyiko!