Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Nenda kenya au South Africa.....kama uwezo upo kaitafute Denmark au Holland
kwelihakuna hapa tz
Ng'ombe za dernmark hiziii
Nenda hukooNawapata wapi

Nenda JKT katika kambi zinazofuga, nahisi hiyo ni hybrids ya Ng'ombe na nyati
Daah mkuu unatukosea sana sisi wazee wa 'Pro-Simmental Breed'Nenda JKT katika kambi zinazofuga, nahisi hiyo ni hybrids ya Ng'ombe na nyati
Hapa Tz wapo pia.Nenda kenya au South Africa.....kama uwezo upo kaitafute Denmark au Holland
Nakosea nn jamaaDaah mkuu unatukosea sana sisi wazee wa 'Pro-Simmental Breed'
Yaan huyu ng'ombe huwezi mfananisha na breed yoyote unayoijua weweNakosea nn jamaa
Aende pale Kisolanza Farm Mafinga wapo kibao!Nenda kenya au South Africa.....kama uwezo upo kaitafute Denmark au Holland
Mi ninayo shamabani kwetu Kisarawe......dume nauza milioni 6, jike milioni 4