Mbegu hii naipata wapi nahitaji sana

Mbegu hii naipata wapi nahitaji sana

Jaribu pale MATI Nyegezi Mwanza. Nilisoma shule ya kilimo Mwanza, na tulikuwa tunakwenda MATI na kuwakuta wako pale. Actually walikuwa wanawapata kwa kufanya Arficial Insemination kati ya giant breed ya Ng'ombne na Nyati. Sikumubki vizuri nadhani walikuwa wanatumia Nyati hawa wa kufugwa. In anyway, walikuwa wanapandikiza Nyati na Ng'ombe yule mkubwa mwenye afya nzrui; dume linakuwa ni Nyati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom