Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,608
Muone Godbless Lema atakueleza vizuri jinsi ya kutengeza mbege nzuri.
ha ha ha majibu yako unanifanya nimkumbuke kaka mwita 25 RIP
Muone Godbless Lema atakueleza vizuri jinsi ya kutengeza mbege nzuri.
Lizzy,
Tupo Chit-Chat apa ndugu yako uwoga wa bure tu.
Inategemea information aliyoipata anataka kuifanyia nini. But generally, an intelligence analyst absorbs incoming information, evaluate it, produce an assessment of the current state of affairs within an assigned field or substantive area, and then forecast future trends or outcomes. Or the finding may help him/her to carry out a further analysis.
So, who knows labda Ritz atakuja na thread nyingine to even narrow down wachaga wa JF waliochangia kwenye hii thread kuhusu mbege ya Machame, Kibosho, Marangu, Old Moshi, nk? Au atakuwa anamonitor hao waliompa techniques za kutengeneza mbege nzuri huwa wanapost nini hapa JF? I don't But starting from general to specific is the best way to find what you want.
Is it by coincidence that wachaga huwa wanajadiliwa sana hapa JF? If so mpaka hata their traditional drinks? Ritz anadai mbege haitengenezwi Uchagani tuu. But at the same time anataka kujua mbege nzuri inatengenezwa wapi. Ni watu gani zaidi ya wachaga watakaomwelewesha jinsi ya kutengeneza the best mbege anayoitaka? Otherwise atakuwa kama Prince William aliyeenda kujifunza Kiswahili Kenya.
Nimewahi jiuliza hii. . labda kuna malengo nyuma yake.Is it by coincidence that wachaga huwa wanajadiliwa sana hapa JF?
Mnajipa wasiwasi wa bure, mpaka nimeshaangaa sasa mie nitafute wachaga wa nini?
Ndio hapo basi. Maana hata huko nyuma ulishawahi kuanzisha thread nyingine specifically for wachaga.
1. Hivi kwa nini watu wa nyanda za juu kusini/ kaskazini wanapenda sana kula Nguruwe: https://www.jamiiforums.com/habari-...ni-kaskazini-wanapenda-sana-kula-nguruwe.html.
2. Kwa nini wachaga wengi meno yao ni ya rangi gold? https://www.jamiiforums.com/jf-chit...wachagga-wengi-meno-yao-ni-ya-rangi-gold.html. Kwenye hiyo thread ulisema kuwa una rafiki yangu mmoja anaitwa Mallya, pamoja na maiwaifu wake kutoka Kibosho. Vipi hao hawajui kutengeneza mebe nzuri? Baada ya kupewa majibu ukashukuru halafu ukauliza Kingine kwa nini Wamachame na Wakibosho hawapatani?"
See your pattern?

Hapo kwenye RED sijakuelewa labda unipe ufafanuzi kidogo.ha ha ha majibu yako unanifanya nimkumbuke kaka mwita 25 RIP
EMT,
Kuwa na amani tu mkuu.
Nimewahi jiuliza hii. . labda kuna malengo nyuma yake.
Ngoja tusubirie kupata mwaliko wa kwenda kuzindua bar mpya ya mbege inayomilikiwa na Ritz, tusipopata basi tutajua alikua na lake jambo. Au anataka kuuza recipe.. . . lolz
Mengine yote tuko pamoja!!
mpe fomula mhandisi mbona unataka kumbania...:coffee:
View attachment 46358Umenikumbusha hii kitu ritz! Nimeimiss sana!!
EMT,
Kuna ubaya mie kuuliza hivyo labda nikuulize wewe wasiwasi wako kwangu ni nini mpaka unanihofia hivyo?
hii made in Moshi/Arusha!! Dar vitu kama hivi uvipati!!
mwanza tunatengeneza mbege ya Maharage na unga wa dona
fresh tu.
ha ha ha majibu yako unanifanya nimkumbuke kaka mwita 25 RIP